Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Watu wanakaa vijuweni kudanganyana hawajui kuwa Amerca ni moja ya nchi inayoongoza kwa uchimbani wa mafuta Dunian na wana reserve ya kutosha.
 
Acha kujifariji China hawezi fanya hichi kitu narudia tena hawezi.
Unabishana na chombo che reputation kubwa cha India. Mbona kwenye vita ni kitu cha kawaida.Russia katest sana silaha za kutoka North Korea, Iran na China,kwenye vita ya Ukraine na hapo hujui Russia na North Korea wamempa nini Iran. Jana kwenye baraza la usalama la UN, Russia na China bila kujificha wote wanamsupport Iran.

Halafu China nani anaweza kumtisha? Mbona hata huyo US baada kupandisha tarrifs, China akareact mbona yeye Trump ndiye aliye tafuta suluhu.
 
Piga huyo 😄
 
🤣🤣
 
Huna Akili
 
Yaani viongozi wa nchi wanauliwawa kama kuku
Kuna tetesi zilitoka kwa Trump, yeye mwenyewe alikiri kwamba: "mifumo ya utawala nchini Iran ni very complex". Yaani, alichotegemea Trump Ni tofauti na anachokishuhudia. Trump aliamini kuuà top leaders basi atakuwa amemaliza kila kitu, sasa imekuwa vice versa.
Inàmaana kwamba, wewe na Trump mnachokiamini kinafanana, na akili zenu zinafanana. Mnachokiamini kimewa-prvove wrong.
halafu mnasema mnajeshi?
Hakuna jeshi? Mbona piga nikupige inaendelea. Makombora yànayorushwa na Iran ni mbuzi ndiyo wanarusha?
 
Umeona US ni sehemu ya kistaarabu, kwa kuishi, lakini nakwambia US Siyo nchi ya kistaarabu. Uwezi ukaenda kwa wengine kusababisha fujo alafu ukajiita mstaarabu. Yaani, unasababishà machafuko nchi nyingine ili zisitawalike alafu unajenga Propaganda kwamba: hizo nchi zenye machafuko hazina ustaarabu, wakati machafuko umeyasababisha mwenyewe.

Rafiki: Marekani hanà moral dignity ya kujiita yeye ni mstàaràbu (nchi iliyostaarabika) wakati hataki nchi nyingine ziwe na ustaarabu.

Kama umeona watu wengi wanatamani kwenda kuishi Marekani (kwa sababu Ni nchi ya kistaarabu) basi ujue Marekani ndiye msababishi wa hayo yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…