Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

kwakutumia special uav israel ina safisha safisha mitaa huko teherani wameua mapolisi wengi kwenye roadblock hii ni kuwezesha nguvu ya uma kuchukua serekali yao
 
USA ndio mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani.
 
Acha kujifariji China hawezi fanya hichi kitu narudia tena hawezi.
We jamaa UNAONGEAGA UNAZI KINYAMA.
China amemuuzia ndege Iran sembuse kumuuzia makombora!??
Ndio maana humu ndani tunakuuliza una umri gani!?
Usikute tunabishana na muhitimu wa form 4 katoto cha buku 2.
China alimsaidia Vietnam kijeshi dhidi ya USA sembuse kumuuzia Iran silaha!??
 
Nahisi huyu jamaa ni mtoto mambo mengi hajui anasikia kwa stori za vijiweni.
 
Kupiga launchers za Makombora kisha ukatangaza kuwa eti hiyo ndo lengo la vita bila kufanya regime change ni Ujinga. Si punde si punde watanunua launchers nyingine tu kutoka kwa mchina na north korea?
 
Hawa Wapalestina wanaoishi Isarel wanalalamika huku upande wao ni kama hakuna interceptors

 
Rais wa Marekani Donald Trump, kupitia ukurasa wake wa TRUTH amesema ni "heshima kubwa" kuwaua viongozi wa utawala wa Iran, katika chapisho lake kwenye mtandao huo.

Trump ameandika, "Tunaangamiza kabisa utawala wa kigaidi wa Iran, kijeshi, kiuchumi, na vinginevyo," aliandika kwenye Truth Social mapema asubuhi ya leo.

"Jeshi la Wanamaji la Iran limetoweka, Jeshi lao la Anga halipo tena, makombora, ndege zisizo na rubani na kila kitu kingine kinaangamizwa, na viongozi wao wamefutwa kutoka usoni mwa dunia."

"Tuna nguvu ya risasi isiyo na kifani, risasi zisizo na kikomo, na muda mwingi - Tazama kitakachowatokea hawa matapeli wazimu leo."

"Wamekuwa wakiwaua watu wasio na hatia kote ulimwenguni kwa miaka 47, na sasa mimi, kama Rais wa 47 wa Marekani, ninawaua. Ni heshima kubwa kufanya hivyo!"

Follow Prosper Tv

#prospertv_tz
 
IRGC Generals Turn Against Iranian President... Then Mass Surrender ERUPTS
#Iran #IRGC #MiddleEast
#Iran #IRGC #MiddleEast #Geopolitics #MilitaryCoup #UAE #USNavy #Trump #IranProtests

The Iranian regime has completely lost control! In a desperate bid to save his country, Iranian President Masoud Pezeshkiyan appeared on state television to apologize to Gulf neighbors and announce an end to the attacks. But within hours, the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) committed a de facto military coup, ignoring the President, calling him a "traitor," and launching a massive drone strike on Dubai International Airport.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…