Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wana i underestimate Israel na ndio maana Iran inapigwa.

Kwa mashambulizi aliyoyafanya Israel ndani ya Iran anaweza kuziteka nchi hata 20 hapa Africa
Hii Israel inayosaidiwa na USA!??
Kama Israel inajiweza kwanini ilimshinikiza USA aingie vitani!??
Unaweza ukatujibu hilo swali??
Kwa hapa Afrika hiyo Israel nampa Algeria tu achilia mbali Morocco au Egypt. Algeria tu Israel HATOBOI.
Labda amuite mumewe USA kama kawaida yake.
 
Ha ha ha ha ha ha 😀😀😀😄😉😅😅😃😀
 
Sasa na wewe si ulete hizo za ndani, mbona hili ni jukwaa huru?
 
Wanaongezeka!!!!!!!!!!!!!!

US CENTCOM has announced that all six crew members of the US Air Force KC-135 Stratotanker have been confirmed dead after the aircraft went down in “friendly airspace during Operation Epic Fury” over western Iraq.


 
Mzee legeza kidogo!!!!!!!!!!!

France and Italy have reportedly opened negotiations with Iran in hopes of receiving guarantees of safe passage for their ships through the Strait of Hormuz, the Financial Times reported on Friday, citing sources familiar with the talks.

 
Wafe tuu
 
Macron si amejiingiza kwenye vita sasa antka nn zaidi ya kipigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…