Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

we mzee acha ujinga wakati nyie nyote yaani hujui kila ambalo hao hizbolah na houth na hata hamas huwa wanashambulia kwa kutumia silaha wanazopewa na bwana zao na hata wamekuwa wakipokea wataalamu wa milipuko kutoka kwa huyo bwana yenu
We ni umerogwa au una tatizo la akili!??
Hamas haijawahi kupelekewa wataalam kutoka Iran kuhusu silaha. Bali hupewa silaha na Hizbollah.
Hizbollah na Houthi kupewa silaha na kupelekewa wataalam wa silaha ndio sawa na kusema JOINT OPERATION!?
Ni wazee walisomesha mbuzi ama mtu!?
Hakuna vita ambayo Iran ilifanya joint operation na proxies zake zaidi ya hii mwaka huu.
Hizo vita zingine Hizbollah alisimama mwenyewe na kupewa msaada wa silaha na wataalam tu. Ila Iran haikuhusika na mashambulizi ya direct.
Labda hapo utaelewa kidogo.
 
Hizo habari za Radars mbona hata vyombo vyao wenyewe zimeripoti, ikiwemo New York Times.

Hii ya leo lisaa limoja,lilopita huko Iraq na bila shaka watakuwa wanamgambo wanao isupport Iran

View: https://m.youtube.com/watch?v=D7u2zQCL0Cc&pp=ygUXRm9yZCB3YXJzaGlwIGdldCBoaXR0ZWQ%3D
Hivi juzi kati US wakati wakiripoti mlipukobwa meli yao ya Ford walisemaje? Na wewe ukaamini kabisa mlipuko wa kawaida uliotokea kwenye meli yao?

View: https://m.youtube.com/watch?v=lAhrAUov9uo&t=20s&pp=ygUXRm9yZCB3YXJzaGlwIGdldCBoaXR0ZWQ%3D
So hizo B-2 zikipigwa US watakubali zimepigwa?
 
ukitaja The New York Times, mara nyingi wanaripoti claims za pande zote kwenye vita. Kuripoti kwamba wanamgambo wamedai kupiga kitu fulani si sawa na kusema tukio limethibitishwa.

Media kubwa huandika claims, halafu uthibitisho huja baadae kupitia ushahidi wa kujitegemea.
Pili, video za YouTube sio uthibitisho wa tukio la kijeshi.

Mara nyingi video za vita hutumiwa vibaya zile za zamani, mazoezi ya kijeshi au hata ajali za kawaida hutolewa nje ya context. Kama kweli carrier kama USS Gerald R. Ford imepigwa, hilo lingekuwa headline kubwa duniani kote kwa sababu ni moja ya meli muhimu zaidi za Marekani.

Halafu kuhusu mlipuko wa kawaida, kwenye meli kubwa za kijeshi kuna maelfu ya vifaa na mafuta ya ndege, ajali ndogo zinaweza kutokea bila kuwa mashambulizi ya adui.

Ndiyo maana lazima kuwe na uchunguzi rasmi na ushahidi kabla ya kusema imepigwa.

Kama Northrop B-2 Spirt ikipigwa why wasikubali? kumbuka kwenye vita nyingi Marekani imewahi kukubali kupoteza ndege au vifaa.

Kinachotakiwa ni uthibitisho huru wreckage, picha, au vyanzo vya kuaminika.

Kwa hiyo mpaka sasa tunachokiona ni claims nyingi kutoka kwa wanamgambo na propaganda za mitandaoni, lakini hakuna uthibitisho wa kujitegemea kwamba carrier za Marekani zimepigwa au kwamba B-2 imewahi kudunguliwa kwenye hiyo vita.
 
Unabishana na msabato kaka !? You're wasting your time
 
New York Times walithibitisha tena walionyesha moja ya Radars iliyo haribiwa yenye thamani ya USD 1.1b.
Hiyo haitoshi wakaongezea na hii.
Kupigwa kwa ndege kunahitaji uchunguzi kweli? Sema wanaficha.

Sasa kama meli hii ya Ford hawakubali kama imepigwa je watakubali hizo ndege zikipigwa?

Hivi juzi tu Maafisa wa Pentagon waliiomba serikali ya Iraq wawape ulinzi wanadiplomasia wao, sababu ya hao wanamgambo? Na baada ya muda hao wanadiplomasia wakashambuliwa na hao wanamgambo?

B-2 hamna sehemu nilisema imepigwa ila na jiuliza ikipigwa watasema?
 
Mzee acha propaganda

hata kama The New York Times imeandika kuhusu rada kuharibiwa, mara nyingi media huandika kwamba kuna shambulio lililotokea ,Hiyo haimaanishi kwamba mtandao wote wa rada wa Marekani umepoteza udhibiti.

Marekani ina mifumo mingi ya rada na vituo vya kijeshi katika eneo lote la Middle East.

Halafu kusema Marekani anaficha ndege kudunguliwa ni hoja dhaifu sana, Katika vita mbalimbali Marekani imewahi kukubali kupoteza ndege na wanajeshi wake hadharani.

Tukio kama hilo lazima lionekane pia kwa satellites, wachunguzi huru na hata nchi nyingine. Hivyo si kitu kinachoweza kufichwa kirahisi.


Kuhusu carrier kama USS Gerald R. Ford, hiyo ni moja ya meli zinazolindwa zaidi duniani. Kama kweli ingepigwa na kombora , hilo lingekuwa tukio kubwa sana kijeshi na kisiasa duniani.

Mpaka sasa hakuna ushahidi wa kujitegemea unaoonyesha carrier hiyo imepigwa.,zaidi ni propaganda zenu za kujifariji.

Unasema Northrop B-2 Spirit, hoja ya kusema ikidunguliwa watakubali? bado ni nadharia tu.,kwanza hao Iran hawana huo uwezo, hata kuua balozi wa nyumba kumi wa Tel Aviv hawawezi,

Kwenye vita vya kisasa, tukio kama hilo lingeonekana haraka kupitia picha za satellite, debris au ripoti za vyanzo huru.
 

Ukifuatilia ninavyo post kila ninacho post kinatoka kwenye repitable media,tena zingine zina miaka zaidi ya mia? Zile sio Propaganda labda wewe kama umeamua kubishana na hizo media.

Kama hizo picha za Satellite wakishare utakuzikubali,tuanze kushare hapa? Ikiwa mlipuko tu kwenye meli ya Ford unasema propaganda, hizo picha za Satellite si utasema Adobe imehusika?

Kwani meli ukilindwa zalidi ndio haipigwi?
 
Acha porojo na propaganda,hakuna reliable media unaweka zaidi ya ushabiki maandzi

Uzuri itajulikana tu soon ,
 
Kumbukumbu la Torati 33:12

“Na kuhusu Benyamini alisema: Mpendwa wa Bwana atakaa salama kwake; naye humkinga siku zote, naye hukaa kati ya mabega yake.”

WAFURSI WA BUZA WATACHUKIA
 
Umechambua kisomi sana!! sio kishabiki.
 
Mbona unamsema mwanaume mwenzako kwani ushawahi mpa hata mlo mmoja 💩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…