Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hii vita marekani kabanwa kweli kweli hii vita marekani hatokuja kuisahau katika maisha yake
yaani kubanwa wakati madege yake yanaingia na kutoka bila pingamizi yeyote kitu ambacho hao ambao munamlinganisha nae leo wana mwaka wa nne hawawezi kufanya hivyo kwenye anga la adui
 
kwani hiyo Iran haukuwepo hiyo 1958 Na kwa usikchokijua wengi wa walioanzisha hizbolah ni waarabu wa palestina wengi wakiwa wapokewakama wakimbizi mjinga wewe
 
Sasa hivi vijana wa Hayati Ayatollah wanapiga msako wa kufumua makazi ya viongozi wa IDF na Israel. Hii kitu hawakuwahi kufikiri. Israel ile ya kina Moshe yule jamaa Chongo ilikuwa bora sana. Hawaezi kujiingiza kwenye vita vyenye nadhara kwao. Wanahakikisha wanaintel za kutosha kuhusu adui ili amalizwe mapema bila madhara makubwa. Hii ya kukimbiza makamera man wanaochukua milipuko mtaani inaaibisha sana. Hata ikishinda inamengi ya kujifunza.
 
Kutoa CCTv mtaan
Bado unajiona Super power
 
Humu kumekuwa vimaneno vingi vya kuokoteza kujifariji sijui nani kasema hivi mara nani kasema vile ila kiukweli hii vita Myahudi na Mmarekani wameshaimaliza hivi sasa wanafanya finishing tu. Nadhani hadi kufikia ijumaa ijayo Iran wanaweza wasirushe kombora hata moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…