baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Hezbollah= Shiakwani hiyo Iran haukuwepo hiyo 1958 Na kwa usikchokijua wengi wa walioanzisha hizbolah ni waarabu wa palestina wengi wakiwa wapokewakama wakimbizi mjinga wewe
Kuzuia Rocket za Hamas, maana Hata rocket za Hezbollah huwa zina jam hizo Air defence.😄😄 Till now najiuliza yale ma - Air defence ya kazi Gani kama hayana power ya kuzuia missiles
Trump ana akili sana hapa anataka kutawala hilo eneo la mfereji sasa hatak kwenda mwenyewe anataka aiingize dunia nzima kwenye utawala ila kiuhalisia yeye ndio atakuwa anatawala.🤣🤣
Trump bana! Sasa kama Marekani ishashinda vita kikamilifu, hayo mengine yote ya nini?
Kwani Netanyahu yupo wapi!!!!!!!!💥💥💥💥
Trump: nimesikia kuwa mojtaba amefariki, lakini kama hajafa basi anapaswa kufanya kktu muhimu kwa ajili ya nchi yake ambacho ni kusalimu amri
Iran wanataka tuzungumze, lakini sitaki sababu bado hawana vigezo vizuri
Kwa hali hii, huyo Motaba kama hajafa basi kapoteza baadhi ya viungo vya mwili💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
Kutetemeka kaa ardhi
Trump ana akili sana? Hapa umedhihirisha kiwango cha akili ulizonazo!Trump ana akili sana hapa anataka kutawala hilo eneo la mfereji sasa hatak kwenda mwenyewe anataka aiingize dunia nzima kwenye utawala ila kiuhalisia yeye ndio atakuwa anatawala.
Ni kilaza kutokana na akili yako ndogo ila kwa wenye akili kubwa walimchagua mara ya pili kwa kazi maalum.Trump ana akili sana? Hapa umedhihirisha kiwango cha akili ulizonazo!
Trump ndiye Rais kilaza kupita marais wote wa Marekani.