Hao watu wanaotumia hisia badala ya uhalisia na facts nilishawa ignore.Wewe tembo (Iran) hata akikonda hawezi kuja kuwa kama sisimizi (Tanzania).
Irani alipigana vita miaka nane, amewekewaa vikwazo since then (1979)...... Leo hii inapigana na nchi mbili ambazo zina uchumi mkubwa Sana kuzidi yeye, zina high tech, zinafanya zinavyojisikia (hata siku moja US-Israel hawajawai kuwekewa vikwazo kwa udhalimu wanaoufanya).... Lakini Iran inawaonyesha kwamba na yeye ni ngangari na jemedari kweli kweli. ๐๐๐
Tanzania vita dhidi ya Idd Amini WA Uganda ilitufanya turudi รฑyuma kiuchumi miaka Mia. Yaani, Uganda Tu alitutoa kamasi na nchi yetu ikateteleka pakubwa Sana.
Kwa hiyo, nahitimisha kwa kusema kuifananisha Iran na Tanzania ni sawa ma kufananasha mbio za farasi na mbio za mbuzi. Irani Ni level ya farasi Sisi ligi yetu ni ya mbuzi (Ligi ya mchangani), japokuwa Makamanda wa Nkunda wanatudanganya kwamba nchi yetu ni ya sita kijeashi duniani ๐๐๐ฒ
Ila Trump sio Mzima kichwani yuleTrump anazilazimisha nchi za nato zijiunge kwenye vita aliyo ianzisha kwa matakwa yake na kichaa mwenzake Netanyau.
Taratibu watasema vizuri tu.Iran will demand assurances that all attacks will stop and reparations are made for war damages before agreeing to end the conflict, Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi told Qatari-owned Al-Araby al-Jadeed.
Wewe ni Mtanzania Uliye Matombo unajua Iran KapondwaUsiku wa kuamkia leo Iran imepondwa hasa๐
Saivi Canada Ana Mbwatukia tuKuna Majinga bado watafananisha Iran na Venezuela sijui Iraq. !!
Yani Yale Mameli Makubwa ya JESH la USA
yenyewe yanaogopa kupita sembuse kusindikiza mwengine !!๐๐๐
Trump kaenda kufunua nyeti za kuku Dunia ijuonee uzaifu wa JESH la MAREKANI
Kupigana na Iranian pekeyake๐ ๐
USA anaomba msaada!!!
kwa Dunia.!!!
Kumbuka Watoto wa Iranian wanapigana kwa kucheza Draft wapo na vitufe tu wapo ndani ya Mipaka Yao.
Hapa umeshuka mzigo wa tani nyingi ๐Pro Iran ni suala la muda raia wataingia mitaani