Kwanza tuanze na walio Ingia Mtaani kama ndio Kipimo cha Kushindwa Vita basi Israhell wameshindwaPro Iran ni suala la muda raia wataingia mitaani
Anaye pondweed ni Iran ila abaye shinda kwenye vyombo vya habari kulazimisha msaada ni Trump.Usiku wa kuamkia leo Iran imepondwa hasa😀
Huko Israel wamesha ingia.Pro Iran ni suala la muda raia wataingia mitaani
Na wanao Safirishwa Kama Vifurushi vya Vitunguu ni WamarekaniAnaye pondweed ni Iran ila abaye shinda kwenye vyombo vya habari kulazimisha msaada ni Trump.
Hao watu wanaotumia hisia badala ya uhalisia na facts nilishawa ignore.
Mtu ukimsoma anaongea vitu pointless kabisa aisee.
Hapa umeshuka mzigo wa tani nyingi 😀
😁😁Duuh we jamaa umekaa kishoga taarifa us tuuh
Wapuuzi tu haoInasemekana kwa mujibu wa Israel hakuna kombora hata moja la Iran hadi sasa lililogusa ardhi ya myahudi
Waathirika wakubwa ni Europe, Asia na Africa.. USA na Israel wanafanya kazi ya kubonda kichwa hapo kwenye mfereji wa Hormuz anataka wote wahusike sababu ni faida kwao pioAnaye pondweed ni Iran ila abaye shinda kwenye vyombo vya habari kulazimisha msaada ni Trump.