City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
mwingine tena!!?π₯π₯π₯π₯
Assassination operation imefanyika kaskazini mashariki mwa Tehran
Huyu awe makini, wanaweza kumbatiza jina la terrorist kwa kuhatarisha ubalozi wao,Trump ni muhuni kulikoIraqi Prime Minister Mohammed Shia Al Sudani " If Iran targets US embassy in Iraq our government has no right to retaliate because attacking the US embassy equals to attacking the soil of USA not Iraq".
Kimeumanaπππππ
Hata wakimbatiza inasaidia nini?Huyu awe makini, wanaweza kumbatiza jina la terrorist kwa kuhatarisha ubalozi wao,Trump ni muhuni kuliko
Au hawa jamaa wanasubir mfungo uishe ndio waanze vita kamili π€Kuua viongozi katika nchi ambayo kufa shahidi ni faida ni sawa na kupiga bomu motuary tu.
Kwenye Vita na Iraki, walikufa Wairan takribani milioni moja lakini wairani walisonga mbele
Yaani week 1 watu wote wameliwaπ₯π₯π₯π₯
Serikali ya Iran yathibitisha Ali Larijan ameuwawa