Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Iran leo wamefanya pro-government rally wakiwatishia hata raia wapinzani.
Iran kupigana wenyewe kwa wenyewe ni nearly impossible mkuu.
 
๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Raisi wa Iran: hawa waoga wameua wenzangu esmail Khatib, Ali Larijan na azzi nasirzadeh, familia zao na washirika wengine. Wametuacha kwenye majonzi
 
๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Raisi wa Iran: hawa waoga wameua wenzangu esmail Khatib, Ali Larijan na azzi nasirzadeh, familia zao na washirika wengine. Wametuacha kwenye majonzi
Huyu raisi ana maneno ya busara sana anakiri wazi kifo kinauma halafu kuna wapambe huku wanadai viongozi wa Iran hawaogopi kufa jaman tuwe na huruma na wenzetu nao wana moyo na asikudanganye mtu kifo hakijawahi kupendwa.
 
This morning, the IDF confirmed for the first time that its laser air defense system, Iron Beam, has begun operating in northern Israel and is being used to intercept drones and missiles.A military source confirmed: โ€œThe system has already been deployed, is operational, and has begun active interceptions.โ€
 
Huyu raisi ana maneno ya busara sana anakiri wazi kifo kinauma halafu kuna wapambe huku wanadai viongozi wa Iran hawaogopi kufa jaman tuwe na huruma na wenzetu nao wana moyo na asikudanganye mtu kifo hakijawahi kupendwa.
Huyu Rais walau ana akili
Huyo aliuwawa ndo kubwa la magaidi alikanusha kuomba radhi majirani
 
mmehamia kwenye vita ya mipasho
 
๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Jeshi la Israel: tumeshambulia vituo vya gesi Iran ambavyo hutumika kufadhili mamilioni ya dola kwa magaidi
 
Petrochemical industries nchini Qatar,UAE na Saudi Arabia raia wameambiwa waondoke maeneo hayo.
Usiku patashambuliwa.
-IDF Major General Finkelman inasemekana amefariki kwa shambulio la Hizbollah.

Hezbollah kupitia Drone maarum za kimkakati za Iran ndio zinafanya msako wa Makamanda wakuu wa IDF!!!

Washauwawa kibao!!! Wanaishi kwa hofu kubwa.!!!

ndiomana Israel inapiga sn Lebanon!!

lkn hawajui pakupiga wanaishia kubomoa majengo la raia.
 
Fanyeni Mikelele ya maombi๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡โ˜ ๏ธโ˜ ๏ธโ˜ ๏ธโ˜ ๏ธโ˜ ๏ธโ˜ ๏ธ
 

Attachments

  • 1744229745699.png
    74.5 KB · Views: 13
  • 6046291-f5c907fc27f5c2e7e24c2e2ffafd45c8.jpg
    4.9 KB · Views: 9
  • Gp7D1RNXQAAziig.jpeg
    30.7 KB · Views: 11
  • 6097385-beb14bf5b206583f052f4fddb1ea8363.mp4
    3.9 MB
Hezbollah kupitia Drone maarum za kimkakati za Iran ndio zinafanya msako wa Makamanda wakuu wa IDF!!!

Washauwawa kibao!!! Wanaishi kwa hofu kubwa.!!!

ndiomana Israel inapiga sn Lebanon!!

lkn hawajui pakupiga wanaishia kubomoa majengo la raia.
Muda si mrefu kuna waziri nae Kapost mwanae yupo ICU, tetesi Mda Hezbollah walipofanya ambush walimuua ama alikua kwenye critical condition.

 
Kila nikikumbuka kauli za waislam wa tz kipindi kile Cha kuelekea D9, na Kisha nikikumbuka propaganda za waislam za kutaka kueneza udini tz kupitia wakatoliki feki, napata sababu za kusema waislam ni wakorofi sana..hivyo Basi

"WAPIGWEEEEEE"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ