City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Kwani hawa jamaa hawapumiziki? Ni mwendo wa makombora asubuhi to asubuhi!!💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la sarastan - lorestan
Iyo milipuko mikubwa sana wala sikubishii naishuhudia live hapa asaluyeh 🙌🙌💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
OkIyo milipuko mikubwa sana wala sikubishii naishuhudia live hapa asaluyeh 🙌🙌
Mother of all bombsIranian state TV claimed that the U.S. is planning to target Iran with multiple MOABs after Iran attacked several energy facilities across the Middle East. Iran warned that this would be a grave mistake.MOAB is one of the largest non-nuclear conventional bombs in the U.S. arsenal
Mnziki wake ukoje ?Mother of all bombs
Duuuu, jina tu lazima uogope.Iranian state TV claimed that the U.S. is planning to target Iran with multiple MOABs after Iran attacked several energy facilities across the Middle East. Iran warned that this would be a grave mistake.MOAB is one of the largest non-nuclear conventional bombs in the U.S. arsenal
Mbona huzungumzii wa wachezaji wa kike waliokataa kuimba wimbo wa taifa na kugoma kurudi Iran. Ukweli ni kuwa wa Iran wengi hawapendi utawala wao na hata wewe ukiambiwa ukaishi Iran chini ya zile sheria huwezi tatizo ni unafiki tu. Binadam wanahitaji uhuru sio kuishi kwa kulazimishana na masheria ya ajabu kama watu wapo jela. Na ndio maana hata wa Iran na waarabu wengi wakipata upenyo wanambilia Canada na Marekan na Sio Afghanstan au Yemen hii inaonesha watu wanapenda uhuru na lifestyle ya wazungu sema unafiki tu ndio umewajaa.Hivi uliisoma vita ya Iraq-Iran war ya 1980 hadi 1988!??
Hadi watoto wa miaka 14 WENYEWE pasi na kulazimishwa walijiunga jeshi kupigana. Wakati huo Iran inanuka njaa kuliko hata Burundi.
Una habari mshambuliaji wa Olympiakos amekataa kusaini mkataba ili arudi IRGC kujiunga na vita!??
Ngoja wajuzi wajeMnziki wake ukoje ?
Huo ndio uhalisia hata jana kuna video zimetumwa Al Jazeera zikionyesha wananchi wakitimuliwa kwa mabomu ya machozi wanapofanya gatheringMbona huzungumzii wa wachezaji wa kike waliokataa kuimba wimbo wa taifa na kugoma kurudi Iran. Ukweli ni kuwa wa Iran wengi hawapendi utawala wao na hata wewe ukiambiwa ukaishi Iran chini ya zile sheria huwezi tatizo ni unafiki tu. Binadam wanahitaji uhuru sio kuishi kwa kulazimishana na masheria ya ajabu kama watu wapo jela. Na ndio maana hata wa Iran na waarabu wengi wakipata upenyo wanambilia Canada na Marekan na Sio Afghanstan au Yemen hii inaonesha watu wanapenda uhuru na lifestyle ya wazungu sema unafiki tu ndio umewajaa.