Kwamba Israel wanazuia kutoa taarifa ila ww hizo taarifa unazo?
Nyie endeleeni kubomoa majengo, sisi makafir wa Israel tunawapeleka viongozi wenu peponi kula bikra 72 ๐Shekhe kuwa na Subra sisi tunauwa m'bwa na mwenye m'mbwa wake๐ฆฎ
Hakuna nafasi ya kukimbia wala nafasi ya kurusha taulo!!
Mbaga. we agiza migebuka! nakuja lipa๐ฉ sisi tupo biz kuwasaka familia ya manyau nyau
USA na Israel wananiangusha sasa, eneo gani hili la kulipua sasa ๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya jeshi kolahdouz
View attachment 3560440
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Israel imefanikiwa kumuua kamanda Ali Mohamed Nain ambae alikua msemaji mkuu wa jeshi IRGC
View attachment 3560439
USA na Israel wananiangusha sasa, eneo gani hili la kulipua sasa ๐
Wanazingua Sasa hao wapuuziUmeona matumizi mabaya ya missiles pesa ya TOZO ya Trump ndio imeenda apo.๐