Kumbe wanaweza kuishi Kwa amani so tatizo ni Nini ??Afghanistan na pakistani naona wamesitisha kupigana hadi sikuku za id elfitri zipite,
Ukimuondoa Mmarekani, Israel ni mweupe Sana kwa Iran.Ukiondoa missile, Iran ni mweupe sana
wanagombea mpaka msala walio achiwa na uingereza enzi hizoKumbe wanaweza kuishi Kwa amani so tatizo ni Nini ??
WJamiiforums nao badala watengeneze ndio wanaharibu
Atawaita majina yote, washamuambia apambane na hali yake!!!
Jamii forums ndo nini hiki? Kwamba bottom hakuna kitufe Cha ku-back ah kwenda forward.
Kwamba ukitaka kuback au kuforward lazima urudi top