Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Bahati mbaya wameshajijengea chuki kubwa kuanzia huko ulaya, america, Asia, Australia, arabuni hadi africa.

Matendo yao yalikuwa mabaya sana dhidi ya ubinadamu hasa tangu vita vya Gaza vianze... Ulaya huko wakiona myahudi wanasogea au wanamrushia mikono kama kufukuza mbwa hivi.

Sasa usalama wao ulikua kuishi vizuri na majirani zake wao wakawafanya majirani kuwa maadui na kuwaona ni binadamu daraja la 3.
Mapambano yao yote yalikua ni kupora eneo kubwa mashariki ya kati kadri inavyowezekana kuanzia Gaza yenyewe, ukingo wa mto Jordan, Syria, Iraq, Lebanon, Iran hadi uturuki ili watoke huko ulaya na bara America waje kuishi kwenye bustani nzuri watakayokua wamepora kutoka kwa majirani huku wakijiimarisha kwa ulinzi mkali... Leo Iran kawafanya waanze kuishi kwa wasiwasi kama njiwa pori kitu kitapelekea nao waanze kunyanyaswa kama walivyowanyanyasa wenyeji wa pale walipo ambao ni Palestina.

Muda ni mwalimu mzuri sana mtaona hali mbaya watakayopitia wayahudi kisa tu kwenda kumchokoza Iran
 
Iran wana strategy nzuri sana katika hii vita. Waliosoma mchezo vizuri. Wanaenda mwendo mdogomdoho lakini ni wa hatari sana. Dunia inapata somo zuri sana
Sasa mtu wanauliwa viongozi tu lakini mwendo wa vita uko palepale inaonekana system ya uongozi ilishapangwa mda mrefu.
Maana anakufa mmoja anaingia mwingine na nia ileile mwendo ule ule.
 
Hakuna sehemu Israel inalindwa kushinda Dimona, ilivyochakazwa Leo means Israel kwisha habari Yao, sasa hivi utaanza kusikia kelele za Ceasefire,
Mzee ile intercept inamezwa na missiles za Iran utadhani imekutana na Papa au nyangumi 🤣🤣😁😁

Aiseee inatisha

Hawa Wairan hii TEC wameitoa wapi !? Daahh 🙌🙌😄
 
Wala usiwalaumu hii vita iliapaswa kutokea ili Dunia ijue kwamba USA na Israel wako overrated now wana umbuka 😄😄😁

Maisha ni mathematics ukikosea tu lazima kikulambe
 
Mashoga ya kiyahudi yanatafuta kila njia kuwaingiza kwenye vita Europe, Viongozi wa Europe sio mazwazwa kama trump anajuta saa hii
Sasa baada ya kuelemewa na kipigo wanawatisha Europe 😀

View attachment 3561249
😁😁 Yalivyokuwa Akili hayana yamesema mpaka Africa yaani wanataka kuwachonganisha Iran na Dunia hawajui kwamba watu wamesha washtukia na wame wapuuza ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…