Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Easier said than done.
Binafsi naona huu wakati mafanikio huenda yakawa makubwa kulilo Mwaka jana sababu Marekani na Israel wamejiunga kwa wakati 1
Mwaka jana Israel alianza kisha Marekank akaja malizia

Kwa sasa anga la Iran naona Israel kama katawala au atalitawala lote usiku huu
 
Punguza ushauri, watu tuko busy..!!
Anza kumshauri mama yako ajiandae na ICC
ni muhimu sana kuwashauri mamaluki malofa wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, hasa wale ambao mna uelewa na ufahamu mdogo zaidi kuhusu mambo haya.

maana mnabebwa ufala wa kifikra kirahisi sana aise ndrugu zangu
 

View: https://youtu.be/_DaBbqAyNbg?si=ouptjzrQs199xJ0n
 
πŸ€“πŸ€“
Namuonea huruma Iran. Kwa sababu anachofanyiwa ni ubabe wenye dhulma lakini nani wakumsaidia?
Mkuu hii dunia haijawahi kuwa na huruma bali kinacho angaliwa ni maslahi tu.
Iwapo Iran itafanikiwa kuchomoka kwenye huu mtihani anatakiwa kufanya afanyavyo kuhakikisha anapata silaha za nyuklia ili kujihakikishia usalama wake tofauti na hapo wataendelea kumuandama na mwisho wa siku watafanikiwa kumuangusha.
Huwezi kuwa mpinzani wa sera za Marekani na washirika wake alafu isiwe na silaha za maangamizi utegemee kubaki salama.
Nina kuhakikishia china πŸ‡¨πŸ‡³ ingekuwa haina silaha za nyuklia wangekuwa walisha ivamia na kuisambaratisha.
 
πŸ’₯πŸ’₯
Waziri wa mambo ya nje wa Iran anasema kwa namna anavyofahamu, Ayatollah Khamenei na Raisi wa Iran wote wapo salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…