Trump ni mdebwedo a.k.a kubwa jinga. Hivi ingekuwa George H.W. Bush au George W Bush tungeabishwa hivi na Muajemi?
Kwa sasa tumpe tu ushindi wake huyu Muajemi maana anatupiga na vitu vizito sana kwa remote tu.
Pia mzee wa kukopi kagame asiiache hii kuna kubwa jinga lingine upande wake.
Iran has blamed the US and Israel for the strike; the US is looking into reports of the incident, while the IDF says it is "not aware" of operations in the area.
www.bbc.com
Death toll in Iran surpasses 1,000 as Israel-US strikes continue
π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kiwanda cha vifaa vya umeme Cha wizara ya ulinzi kaskazini mashariki mwa Tehran
Nasikia short range ballistic missle ya Iran Fattah 360 yenye speed ya mach 3 iko mikononi mwa Hesbullah lwa mujibu wa tweet za wanapropaganda wa Iran.
Kama ni kweli kavita kanazidi kuchangamka.
Kwa vita ilivyo kumbe ingekuwa US vs Iran US angeshabigwa masaa 48 ya kwanza tu. Israel ndiye mwamba vwa vita na gwiji wa assassination.