City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la malek shahr
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la malek shahr
Sijui upo dunia gani.
View: https://m.youtube.com/watch?v=xsWomTQchgo&pp=ygUPdXMgZm9yZCBiYWNrIHVz
View: https://m.youtube.com/watch?v=_frX5ezPdcQ
View: https://m.youtube.com/watch?v=wv6R9_XUe5s
Kituo cha kwanza Ugiriki kwanza wanaifanyia repair ndogo ndogo then wairudishe kwao kwa ukarabati mkubwa.
Matengenezo ya mfupi miezi kumi na nne? Mlipuko mdogo ila watu 200 wamejuruhiwa na iliwachukua masaa zaidi ya 30 kuuzima.Hapa labda uwe ujitoe ufahamu ila mwenye akili kaelewa kilicho wakuta. Lincoln sasa hivi hatuisikii kabisa.
Wewe unategemea taarifa rasmi, hivyo vyombo vyao Secretary of Defence kavipiga mkwala kuvifungia, sababu vinaongea ukweli anaona kama havina uzalendo? Wewe unategemea upate maelezo ndani ya siku tano ndege tatu mbili za F-15 moja ni F-15,zimepigwa na video zake wakati zikipigwa watu wameshare, vipi US walitoa maelezo? Atoe maelezo aharibu biashara yake ya silaha.
Faida ya kuwaua hao?Vita bado inaendelea
Kuondoa magaidi dunianiFaida ya kuwaua hao?
Media ya kwanza Hindustan Times (Kina miaka zaidi ya mia moja),Indians times ina miaka zaidi ya 110 ,so siokotagi habari.Siko dunia nyingine, natumia facts zilizothibitishwa siyo video za YouTube za watu wanaotafuta Viewers,
Unapenda sana propaganda halafu kwa kujiamini kabisa, USS Gerald R. Ford (CVN-78), Ni kweli kulikuwa na moto mdogo ndani ya meli,Ni kweli imeenda Souda Bay kwa ukaguzi na matengenezo ya kawaida,Lakini hakuna ushahidi wa kuaminika kwamba, Ilipigwa na Iran, huu ni uongo,hakuna ushahidi kuwa Kuna majeruhi 200,hakuna ushahidi kuwa Itakaa miezi 14 kwa matengenezo ya sasa,
Hizi ni propaganda za Pro Iran,wewe unazibeba kama zilivyo,
Hilo la miezi 14 ni speculation ya watu wa YouTube, kusaka viewers na wewe unabeba tu ,
Nishakukataza kuokota hizo video ,
Video zako zina shida hizi 👇ndio maana nakuona mtu wa propaganda tu
Moja ,Hazitoi chanzo rasmi (source)hakuna Pentagon, hakuna Navy, hakuna satellite proof,mbili Zinatumia maneno ya kubahatisha “reportedly”, “might be”, “could be” huo si uthibitisho
Creators wengi wanatumia vita kupata views kwa exaggeration
Video ya YouTube si proof ni opinion mpaka ithibitishwe na sources kubwa., Logic rahisi sana Kama kweli
Aircraft carrier kubwa duniani imepigwa,Watu 200 wamejeruhiwa
Inarudi US kwa miezi 14,Niletee vyanzo vya kuaminika au breaking news , sio hizo video za kuokota YouTube.
Satellites zingeshaonyesha
Media zote kubwa zingekuwa zimejaa hiyo habari
Hata maadui wa Marekani (Russia, China) wangekuwa tayari wanaisambaza
Lakini hakuna kitu kama hicho.
Marekani wamewahi kukiri,Vita vya Battle of Mogadishu,Vifo Afghanistan na Iraq,Sasa iweje wafiche tukio kubwa zaidi la carrier kupigwa?Dunia ya leo ina satellites huwezi kuficha kila kitu.
Ujinga mtaacha lini?
Boss ushauri Tu block hao watu, sometime unabishana Tu na Ai na vyumba vya propaganda, ukweli wanaujua ila propaganda ndio KAZI yao na wanalipwa kwa Hilo.Media ya kwanza Hindustan Times (Kina miaka zaidi ya mia moja),Indians times ina miaka zaidi ya 110 ,so siokotagi habari.
Unavyojipa umuhim utazani na kujua,unikataze bundle unaniunga wewe we sio mzima.Mimi nafanya reference na ndivyo watu wanavyo takiwa kubishana, weka reference.
Mbona kuna picha kibao za Satellite wameshare vyombo vya habari vya India,US,China na Russia.New York Times Wameshare picha Radar ya Centcom iliyo lipuliwa 1.1b na imeshare image ya kambi 17 za US zilizopogwa.
View attachment 3562273
The Guardian 200 injured na vitanda zaidi ya mia sita viliungua.![]()
At Least 17 U.S. Sites Damaged in War With Iran, Analysis Shows
A New York Times analysis of satellite imagery and verified videos shows damage to more than a dozen American military sites and installations from Iran’s retaliatory strikes.www.nytimes.com
View attachment 3562274![]()
Fire damage, clogged toilets, and sinking morale: USS Gerald R Ford to set sail for repairs in Crete
Aircraft carrier has been participating in strikes on Iran, after previously taking part in the operation to seize Venezuela’s president Nicolás Madurowww.theguardian.com
Yaani unakaa kabisa ukizani US ataongea ukweli? Haya mtizame juzi Secretary of Defence akivipigwa mkwala vyombo ya habari kwa kupost ukweli juu kinacho endelea Iran mpaka kutaka kuvifungia.
View attachment 3562277
Hapo nimerefer the Guardian la UK,New York Times cha Urusi na Aljazeera. Hapo sijaamua kuweka za RT News ya Russia, maana kule ndio kuna Satellite image kibao.
Mimi sikurupuki kama wewe unapayuka kama umenyeshwa maji ya mtaroni. Wewe ukinipinga nipinge kwa reference, zangu hizo haya na zisubiria za kwako za kuzipinga hizo post zangu.
For your perception,but in reality Iran already won the war.Iran can win war only in jamii forums