Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Intelligensia ya US inasema Iran imehamishia 440Kg yao ya Enriched Uranium eneo la milima ya Pickaxe.

Huko wanamahandaki chini ya milima ya miamba ya Graphite ambayo hakuna Bunker busters duniani inaweza kuyalipua kwa sababu ya ugumu wa miamba ile.
 
💥💥💥💥
Trump: kuna mazungumzo na Iran, naweza kuwaambia kuwa wanaoendelea tuzungumze tufikie makubaliano, nani angeweza kukataa kama wewe ndio ungekuwa Iran? Ona ,hawana jeshi la majini, hawana jeshi la anga, hawana mawasiliano, karibu kila kitu walichokua nacho kimeondoka
Sawa si wawamalizie tu, mazungumzo ya nini?
 
Intelligensia ya US inasema Iran imehamishia 440Kg yao ya Enriched Uranium eneo la milima ya Pickaxe.

Huko wanamahandaki chini ya milima ya miamba ya Graphite ambayo hakuna Bunker busters duniani inaweza kuyalipua kwa sababu ya ugumu wa miamba ile.
So wanakiri vita vilivyopita ni movie Tu hawakulipua chochote.
 
Media ya kwanza Hindustan Times (Kina miaka zaidi ya mia moja),Indians times ina miaka zaidi ya 110 ,so siokotagi habari.

Unavyojipa umuhim utazani na kujua,unikataze bundle unaniunga wewe we sio mzima.Mimi nafanya reference na ndivyo watu wanavyo takiwa kubishana, weka reference.

Mbona kuna picha kibao za Satellite wameshare vyombo vya habari vya India,US,China na Russia.New York Times Wameshare picha Radar ya Centcom iliyo lipuliwa ( thmani yake) 1.1b na imeshare image ya kambi 17 za US zilizopogwa.
View attachment 3562273
The Guardian 200 injured na vitanda zaidi ya mia sita viliungua.
View attachment 3562274
Yaani unakaa kabisa ukizani US ataongea ukweli? Haya mtizame juzi Secretary of Defence akivipigwa mkwala vyombo ya habari kwa kupost ukweli juu kinacho endelea Iran mpaka kutaka kuvifungia.
View attachment 3562277
Hapo nimerefer the Guardian la UK,New York Times cha Urusi na Aljazeera. Hapo sijaamua kuweka za RT News ya Russia, maana kule ndio kuna Satellite image kibao.

Mimi sikurupuki kama wewe unapayuka kama umenyeshwa maji ya mtaroni. Wewe ukinipinga nipinge kwa reference, zangu hizo haya na zisubiria za kwako za kuzipinga hizo post zangu.
Huyo ni mpumbavu mmoja akina echolima akili zao zimehamishwa makaioni
 
PIGO KWENYE MAHANDAKI: WALINZI WA MAKOMBORA WAUAWA!

Ripoti za hivi punde za usiku huu, Machi 24, 2026, zinathibitisha kuwa shambulio la anga la pamoja kati ya Marekani na Israeli limepiga handaki la siri la makombora (missile tunnel) nchini Iran, na kusababisha vifo vya maafisa kadhaa wa usalama waliokuwa na jukumu la kulinda na kuratibu urushaji wa makombora hayo.

Shambulio la "Bunker Buster"

Ndege za kivita zimetumia mabomu mazito ya kupenya ardhini (Bunker Busters) kupiga milango na mifumo ya uingizaji hewa ya mahandaki hayo. Lengo la shambulio hili lilikuwa ni kulemaza uwezo wa Iran wa kufanya shambulio la kulipiza kisasi la "True Promise 4" ambalo lilikuwa linapangwa.

Waliouawa

Maafisa waliouawa ni sehemu ya kitengo maalum cha "Guardians of the Missiles" (Walinzi wa Makombora), ambao ni askari na polisi wa kitengo cha ufundi cha IRGC.

Jukumu lao

Walikuwa na jukumu la kuandaa makombora ya masafa marefu (Ballistic Missiles) na kuhakikisha usalama wa mahandaki hayo yaliyofichwa milimani.

Athari ambayo inaweza kutokea

Kupoteza wataalamu hawa ni pigo kubwa kwa "Fire Array" ya Iran (mfumo wa urushaji makombora), kwani inachukua muda mrefu kuandaa wataalamu wenye uwezo wa kuendesha mitambo hiyo chini ya ardhi.

Mamlaka ya Iran imewatangaza kuwa mashahidi.



View attachment 3562260
Wewe jamaa kaangalie vizuri chanzo cha habari zako. Zimekaa kimatangopoli sana
 
💥💥💥💥
Trump: Iran wanetupatia zawadi kubwa, zawadi hiyo imewasili leo. Ni zawadi kubwa yenye thamani ya pesa nyingi. Hii Inaniambia kuwa tunazungumza na watu sahihi ndani ya Iran. Ni zawadi inayohusiana na mafuta na gesi
 
💥💥💥💥
Trump: hakuna viongozi waliobaki,viongozi wamefariki. Hakuna anayejua aongee na nani. Lakini tunaongea na watu sahihi, na wanahitaji sana kuzungumza. Huwezi kujua kwa namna wanavyotaka sana mazungumzo ya muafaka, lakini tutaona
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la viwanda alborz Qazvin. Milipuko mikubwa sana
Screenshot_20260325-022712_1.jpg
 
Back
Top Bottom