City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la noshahr
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la noshahr
Unalipwa parefu mkuu! Ulali! Iran ye yeye ashambulii anashambuliwa tu naona! According to your update!💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kamalashehr
Fatilia updates mara zote bila kuwa na hisia kali.Unalipwa parefu mkuu! Ulali! Iran ye yeye ashambulii anashambuliwa tu naona! According to your update!
Wewe ***** naona unajitahidi kubembeleza hivi inadhani unaongea na wanavijiji wenzako humu watameza upupu unaopika, nenda kawapange wapori wenzakoHizi cheap propaganda zinawasaidia nini hasa?
USS Gerald R. Ford ilipata moto ndani na inaenda kufanya matengenezo, lakini moto huo haukusababishwa na Iran na meli bado ina uwezo wa kupigana.
Pia inaenda Greece (Crete) kwa matengenezo ya muda mfupi, sio Marekani kama unavyodanganya.
Hilo la kusema itachukua miezi 14 ni makadirio ya baadhi ya wachambuzi uchwara pro Iran, si taarifa rasmi ya jeshi la Marekani.