Sijui upo dunia gani.
View: https://m.youtube.com/watch?v=xsWomTQchgo&pp=ygUPdXMgZm9yZCBiYWNrIHVz
View: https://m.youtube.com/watch?v=_frX5ezPdcQ
View: https://m.youtube.com/watch?v=wv6R9_XUe5s
Kituo cha kwanza Ugiriki kwanza wanaifanyia repair ndogo ndogo then wairudishe kwao kwa ukarabati mkubwa.
Matengenezo ya mfupi miezi kumi na nne? Mlipuko mdogo ila watu 200 wamejuruhiwa na iliwachukua masaa zaidi ya 30 kuuzima.Hapa labda uwe ujitoe ufahamu ila mwenye akili kaelewa kilicho wakuta. Lincoln sasa hivi hatuisikii kabisa.
Wewe unategemea taarifa rasmi, hivyo vyombo vyao Secretary of Defence kavipiga mkwala kuvifungia, sababu vinaongea ukweli anaona kama havina uzalendo? Wewe unategemea upate maelezo ndani ya siku tano ndege tatu mbili za F-15 moja ni F-15,zimepigwa na video zake wakati zikipigwa watu wameshare, vipi US walitoa maelezo? Atoe maelezo aharibu biashara yake ya silaha.
Siko dunia nyingine, natumia facts zilizothibitishwa siyo video za YouTube za watu wanaotafuta Viewers,
Unapenda sana propaganda halafu kwa kujiamini kabisa, USS Gerald R. Ford (CVN-78), Ni kweli kulikuwa na moto mdogo ndani ya meli,Ni kweli imeenda Souda Bay kwa ukaguzi na matengenezo ya kawaida,Lakini hakuna ushahidi wa kuaminika kwamba, Ilipigwa na Iran, huu ni uongo,hakuna ushahidi kuwa Kuna majeruhi 200,hakuna ushahidi kuwa Itakaa miezi 14 kwa matengenezo ya sasa,
Hizi ni propaganda za Pro Iran,wewe unazibeba kama zilivyo,
Hilo la miezi 14 ni speculation ya watu wa YouTube, kusaka viewers na wewe unabeba tu ,
Nishakukataza kuokota hizo video ,
Video zako zina shida hizi 👇ndio maana nakuona mtu wa propaganda tu
Moja ,Hazitoi chanzo rasmi (source)hakuna Pentagon, hakuna Navy, hakuna satellite proof,mbili Zinatumia maneno ya kubahatisha “reportedly”, “might be”, “could be” huo si uthibitisho
Creators wengi wanatumia vita kupata views kwa exaggeration
Video ya YouTube si proof ni opinion mpaka ithibitishwe na sources kubwa., Logic rahisi sana Kama kweli
Aircraft carrier kubwa duniani imepigwa,Watu 200 wamejeruhiwa
Inarudi US kwa miezi 14,Niletee vyanzo vya kuaminika au breaking news , sio hizo video za kuokota YouTube.
Satellites zingeshaonyesha
Media zote kubwa zingekuwa zimejaa hiyo habari
Hata maadui wa Marekani (Russia, China) wangekuwa tayari wanaisambaza
Lakini hakuna kitu kama hicho.
Marekani wamewahi kukiri,Vita vya Battle of Mogadishu,Vifo Afghanistan na Iraq,Sasa iweje wafiche tukio kubwa zaidi la carrier kupigwa?Dunia ya leo ina satellites huwezi kuficha kila kitu.
Ujinga mtaacha lini?