matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Sawa si wawamalizie tu, mazungumzo ya nini?π₯π₯π₯π₯
Trump: kuna mazungumzo na Iran, naweza kuwaambia kuwa wanaoendelea tuzungumze tufikie makubaliano, nani angeweza kukataa kama wewe ndio ungekuwa Iran? Ona ,hawana jeshi la majini, hawana jeshi la anga, hawana mawasiliano, karibu kila kitu walichokua nacho kimeondoka
So wanakiri vita vilivyopita ni movie Tu hawakulipua chochote.Intelligensia ya US inasema Iran imehamishia 440Kg yao ya Enriched Uranium eneo la milima ya Pickaxe.
Huko wanamahandaki chini ya milima ya miamba ya Graphite ambayo hakuna Bunker busters duniani inaweza kuyalipua kwa sababu ya ugumu wa miamba ile.
Huyo ni mpumbavu mmoja akina echolima akili zao zimehamishwa makaioniMedia ya kwanza Hindustan Times (Kina miaka zaidi ya mia moja),Indians times ina miaka zaidi ya 110 ,so siokotagi habari.
Unavyojipa umuhim utazani na kujua,unikataze bundle unaniunga wewe we sio mzima.Mimi nafanya reference na ndivyo watu wanavyo takiwa kubishana, weka reference.
Mbona kuna picha kibao za Satellite wameshare vyombo vya habari vya India,US,China na Russia.New York Times Wameshare picha Radar ya Centcom iliyo lipuliwa ( thmani yake) 1.1b na imeshare image ya kambi 17 za US zilizopogwa.
View attachment 3562273
The Guardian 200 injured na vitanda zaidi ya mia sita viliungua.At Least 17 U.S. Sites Damaged in War With Iran, Analysis Shows
A New York Times analysis of satellite imagery and verified videos shows damage to more than a dozen American military sites and installations from Iranβs retaliatory strikes.www.nytimes.com
View attachment 3562274Fire damage, clogged toilets, and sinking morale: USS Gerald R Ford to set sail for repairs in Crete
Aircraft carrier has been participating in strikes on Iran, after previously taking part in the operation to seize Venezuelaβs president NicolΓ‘s Madurowww.theguardian.com
Yaani unakaa kabisa ukizani US ataongea ukweli? Haya mtizame juzi Secretary of Defence akivipigwa mkwala vyombo ya habari kwa kupost ukweli juu kinacho endelea Iran mpaka kutaka kuvifungia.
View attachment 3562277
Hapo nimerefer the Guardian la UK,New York Times cha Urusi na Aljazeera. Hapo sijaamua kuweka za RT News ya Russia, maana kule ndio kuna Satellite image kibao.
Mimi sikurupuki kama wewe unapayuka kama umenyeshwa maji ya mtaroni. Wewe ukinipinga nipinge kwa reference, zangu hizo haya na zisubiria za kwako za kuzipinga hizo post zangu.
Wewe jamaa kaangalie vizuri chanzo cha habari zako. Zimekaa kimatangopoli sanaPIGO KWENYE MAHANDAKI: WALINZI WA MAKOMBORA WAUAWA!
Ripoti za hivi punde za usiku huu, Machi 24, 2026, zinathibitisha kuwa shambulio la anga la pamoja kati ya Marekani na Israeli limepiga handaki la siri la makombora (missile tunnel) nchini Iran, na kusababisha vifo vya maafisa kadhaa wa usalama waliokuwa na jukumu la kulinda na kuratibu urushaji wa makombora hayo.
Shambulio la "Bunker Buster"
Ndege za kivita zimetumia mabomu mazito ya kupenya ardhini (Bunker Busters) kupiga milango na mifumo ya uingizaji hewa ya mahandaki hayo. Lengo la shambulio hili lilikuwa ni kulemaza uwezo wa Iran wa kufanya shambulio la kulipiza kisasi la "True Promise 4" ambalo lilikuwa linapangwa.
Waliouawa
Maafisa waliouawa ni sehemu ya kitengo maalum cha "Guardians of the Missiles" (Walinzi wa Makombora), ambao ni askari na polisi wa kitengo cha ufundi cha IRGC.
Jukumu lao
Walikuwa na jukumu la kuandaa makombora ya masafa marefu (Ballistic Missiles) na kuhakikisha usalama wa mahandaki hayo yaliyofichwa milimani.
Athari ambayo inaweza kutokea
Kupoteza wataalamu hawa ni pigo kubwa kwa "Fire Array" ya Iran (mfumo wa urushaji makombora), kwani inachukua muda mrefu kuandaa wataalamu wenye uwezo wa kuendesha mitambo hiyo chini ya ardhi.
Mamlaka ya Iran imewatangaza kuwa mashahidi.
View attachment 3562260
Mkuu wao wanajua sababu ya kupigana na wanajua sababu ya wanachotaka kuzungumza. Ngoja tusubiriSawa si wawamalizie tu, mazungumzo ya nini?
Wanataka kuzungumza na nani kama ni mazungumzo ya pande mbili kwanini maelezo yanatoka upande ule tu je unaamini maneno hewa au huelewi maana ya mazungumzo?Mkuu wao wanajua sababu ya kupigana na wanajua sababu ya wanachotaka kuzungumza. Ngoja tusubiri
Regime change si ni kipaumbele chao? Sasa hii si ndio nafasi nzuri mkuuMkuu wao wanajua sababu ya kupigana na wanajua sababu ya wanachotaka kuzungumza. Ngoja tusubiri