Wanayajua ndio maana wenye akili timamu wamekataa,ila viongozi wanalazimisha ili kusave face.Kwahiyo hayo wamarekani hawayajui? Au wewe unayajua zaidi yao?
Embu fikiria kama wanajeshi elfu 40 walishindwa kuizuia Iran wakati wa mwanzo wa vita wakiwa na vifaa full,wanajeshi elfu 5 wataweza nini wakienda ground invasion kupigana na taifa lenye majeshi matano yenye kila askari laki 6 hadi 7 kila jeshi!???
Trump na wenzake wanaforce kusave face ila wako delusional kwamba bado wana nguvu.
Tupo hapa,vikundi vya Iraq navyo vinawasubiri waingie tu nao wajumuike.
Nakuhakikishia wanajeshi wa US watakaangwa hakuna.