Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

wakati mwingine waacheni jamani. kwenye huu uzi ndo maana hawa jamaa zako huwa nawaambia kwa hizi habari za kijingakijinga (habari za faraja)kunafanya hata habari ya kweli ionekane ya uongo ebu fikiria ulivyokuwa unawabana kuhusu habari ya kifo cha Netanyahu. yaani wanaoleta habari ambayo hata irgc hawajaitoa
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora katika jiji la Mashhad. Milipuko mikubwa sana
20260325_230727.jpg
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la mashariki mwa Tehran
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la msikiti sajjad katika jiji la Mashhad
 
Back
Top Bottom