hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
What a question!!? 😄🤣🙌
😀Unalipwa parefu mkuu! Ulali! Iran ye yeye ashambulii anashambuliwa tu naona! According to your update!
Hawa jamaa hivi wanalengo la kusitisha hii vita au ndo wanazugana tu maana wanasema wakae waizungumzie ila bado wanabondana tu.💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Qazvin. Milipuko mikubwa sana
View attachment 3562330
Vita kufa kawaida mkuu! Ajabu ukisikia kafufuka mtu ktk ya vita.Kafa mtu huko
Wamelipua vinu na mitambo,si ile uranium iliyorutibishwa grade ya silaha,ambapo wadadis wanasema ipo chini ndio Marekani anataka watume ground special force wakaichukue.Leo nimeona trump kaongea kuwa Iran waipatie USA hizo uranium za kurutubisha nuke nikasema Hawa mbona hawana Akili last year siwalisema kwamba wamelipua Kila kitu
Hawa majaa ni vichaa 😀😀
Leo Iran imeshusha ndege ya F-18 ya Marekani. It seems air defense ya Iran imeanza kuchangamka
Texas oil refinery imewaka moto,je hii ni nini chanzo chake!?
Au Israel ameshatengeneza false flag attack!?
Marekani atajichanganya kama akiingia battlefield na Iran, Marekani anaweza chakazwa vibaya sanaWamelipua vinu na mitambo,si ile uranium iliyorutibishwa grade ya silaha,ambapo wadadis wanasema ipo chini ndio Marekani anataka watume ground special force wakaichukue.
Source?Leo Iran imeshusha ndege ya F-18 ya Marekani. It seems air defense ya Iran imeanza kuchangamka
Uvamiwe kwako utepete then uende kwa majirani,hizi akili za wapi. Tunasubiri kuona huo umwamba wa IRG dhidi ya 82nd Airborne.Iran imesema kuwa ikivamiwa na askari wa miguu wa Marekani ili kuishikilia strait of Hormuz na yenyewe itavamia ukanda wa pwani wa Kuwait na bahrain. Yaani jamaa anapiga kwenye mshono, maana hizo nchi zina maslahi makubwa ya Marekani
Marekani hana nia ya nchi nzima,anachukua maeneo machache na vital kwa Iran kama kile kisiwa cha mafuta.Marekani atajichanganya kama akiingia battlefield na Iran, Marekani anaweza chakazwa vibaya sana
Kwanza, Iran ni nchi kubwa sana kijiografia. Ina eneo la takribani kilomita za mraba milioni 1.65, Ukubwa huu unamaanisha kwamba jeshi linaloivamia litahitaji kudhibiti maeneo makubwa sana.
Wakati huo kumbuka katka hizo KM 1.6M zaidi ya 50% ni milima na mabonde… Milima hii ina njia chache za kupita na maeneo mengi ya miamba na mabonde. hii inawapa wanajeshi wa Iran faida kubwa kwa sababu wanaweza kupanga mashambulizi ya kushtukiza (ambush) dhidi ya majeshi yanayojaribu kupenya kupitia njia nyembamba za milimani wakawachakaza vibaya sana…
Mbali na milima, Iran pia ina majangwa makubwa na maeneo yenye misitu katika kaskazini, hali ambayo harakati za jeshi kubwa kuwa ngumu zaidi kupenya mpaka kwenye ngome ya nchi..
Kiufupi, ukubwa wa nchi, mazingira ya milima na majangwa, idadi kubwa ya watu, pamoja na mfumo wa kijeshi ulipo vinaifanya Iran kuwa nchi ambayo kuivamia kwa vita vya ardhini ni kujichimbia kaburi mwenyew… na hapo sijagusia vikundi vinavyo iunga Iran kama Hezbollah (proxy group)& uimara wa Jeshi lake nk
Marekani arushe mabom yake hapo Baharini akimaliza arudi kwake, ila kuondoa itikadi za kiajemi hapo ni ngumu sana.
Trust Me BroSource?