City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Trump: tuliweka matarajio ya wiki 4 Hadi 6. Tuko.mbele ya muda/mipango
Trump: tuliweka matarajio ya wiki 4 Hadi 6. Tuko.mbele ya muda/mipango
Waswahili aisee eti unauliza irani kaunda lini kombora yaani unavyouliza ni kama mtu wa maana vileMh Iran kaunda lini kombora la masafa ya kilometa 4000!?
Mbona hili ni jipya?
Ndugu akili za kuambiwa changanya na zakwako. Pia ujue kutofautisha wachambuzi na wanaharakati.HIVI NIULIZE, UBORA WA IRANI WANAOSIFIWA NAO NI UPI KAMA VIONGOZI WAO WANAULIWA KILA SIKU KAMA MENDE?
Ila Trump muongo sana aisee 🤣.💥💥💥💥
Trump: Iran wanataka sana tuzungumze sio mimi.
Huu ni uongo.💥💥💥💥
Trump: Iran wangetumia nyuklia kwa Israel na pia wangekuja kutumia kwetu
Bado sijajibiwa nilichoulizaNdugu akili za kuambiwa changanya na zakwako. Pia ujue kutofautisha wachambuzi na wanaharakati.
Kwahiyo ukristo hapo unaingiaje inamaana mtu Akiwa upande wa marekani ni mkristo na vipi mtu Akiwa upande wa Iran kama wewe napo tuseme ni waislamu? Unajifanya kujua sana ndio maana unataka kila unachoandika watu wakikubali wakati mtu mwenyewe unagoogleKwani hizi kelele za Trump kumwambia hasipige tena vituo vya gasi unajua sababu ilikuwa nini? Haifa Oil Refinery, Banzan, kituo cha zalisha gas vyote vinebondwa ndani ya siku moja na Iran,siku moja kabla aliongea hilo. Tatizo lako unavufuatilia viclip vya social networks.Hizo nchi za Middle East zote Iran aliziambia ,wanamuhost US ,ila siku US akiigusa Iran basi Iran ataanza na wao ,kwani sasa hivi nini kimetokea. Sibishani na watu wenye mihemko ya dini hizi za Kikristo inaonekana hata Ukristo wenye huujui.
Kwahiyo ukristo hapo unaingiaje inamaana mtu Akiwa upande wa marekani ni mkristo na vipi mtu Akiwa upande wa Iran kama wewe napo tuseme ni waislamu? Unajifanya kujua sana ndio maana unataka kila unachoandika watu wakikubali wakati mtu mwenyewe unagoogle
Kuna watu wanaamini hii vita ni unabii utimie,halafu Kugoogle ndio kujua kwenyewe ndio maana na share na reference.Kwahiyo ukristo hapo unaingiaje inamaana mtu Akiwa upande wa marekani ni mkristo na vipi mtu Akiwa upande wa Iran kama wewe napo tuseme ni waislamu? Unajifanya kujua sana ndio maana unataka kila unachoandika watu wakikubali wakati mtu mwenyewe unagoogle
Huenda labda hawajui, na kama wangejua strength ya Iran wasingeivamia.Kwahiyo hayo wamarekani hawayajui? Au wewe unayajua zaidi yao?
Something which is very difficult.. Iran Ina Jeshi Bora sana.. ni ina utofouti mkubwa sana wa nchi ambazo Marekani aliwai kuvamia.. kijeshi, kiuchumi na kisiasa.. unaweza shangaa Marekani akipoteza militia wengi sana hapo.Marekani hana nia ya nchi nzima,anachukua maeneo machache na vital kwa Iran kama kile kisiwa cha mafuta.
Hili swala lipo pande zote mimi nipo mtwara mjini na hapa waislamu ni 98% na hao wote wanaishabikia iran na wasomi wao wa dini wanaeleza kabisa huu ndio wakati wa mayahudi na makafiri kufaKuna watu wanaamini hii vita ni unabii utimie,halafu Kugoogle ndio kujua kwenyewe ndio maana na share na reference.
Kwahiyo akiongea gwajima unaona ndio muwakilishi wa wakristo?