Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Wapi?Kapigwa mtu huko
Wapi?Kapigwa mtu huko
Okay kwani wewe hoja yako ni nini?Hili swala lipo pande zote mimi nipo mtwara mjini na hapa waislamu ni 98% na hao wote wanaishabikia iran na wasomi wao wa dini wanaeleza kabisa huu ndio wakati wa mayahudi na makafiri kufa
Hoja ni wewe kushambulia wakristo pekeyake ukawaAcha na wengine wakati hivi vita kwahuku Africa ni vita vya kidiniOkay kwani wewe hoja yako ni nini?
Mhh kwa hiyo wewe ulicho kasirika kushambulia Wakristo, mimi mwenyewe mkristo. Ila nawashangaa wanao tanguliza maswala ya unabii kwa watu wanao pigania heshima, uhuru na hadhi ya taifa lao na ndio maana ni kawataja sababu huwaga wanareply comment zangu kwa hayo maswala yao ya kinabii.Hoja ni wewe kushambulia wakristo pekeyake ukawaAcha na wengine wakati hivi vita kwahuku Africa ni vita vya kidini
Mimi siwezi kukasirika kwa vitu kama hiviMhh kwa hiyo wewe ulicho kasirika kushambulia Wakristo, mimi mwenyewe mkristo. Ila nawashangaa wanao tanguliza maswala ya unabii kwa watu wanao pigania heshima, uhuru na hadhi ya taifa lao na ndio maana ni kawataja sababu huwaga wanareply comment zangu kwa hayo maswala yao ya kinabii.
Kwa hiyo umekasirika hapo nilipotaja Wakristo so ningewataja na Waislam husinge reply comment yangu? So ulitaka ni balance?
So hukupenda nilivyo wataja Wakristo peke yake na wengine ni kawaacha?Mimi siwezi kukasirika kwa vitu kama hivi
wengine naniSo hukupenda nilivyo wataja Wakristo peke yake na wengine ni kawaacha?
Hoja ni wewe kushambulia wakristo pekeyake ukawaAcha na wengine wakati hivi vita kwahuku Africa ni vita vya kidini
Wewe ndio uniambie hao wengine au umesahau ulizo kiandika?wengine nani
Ila huyu bangi yake anainywa kama juice 😂😂😂Uganda.
Kuna tetesi Kainerugaba mkuu wa majeshi na mtoto wa Rais akasema Israel ikizidiwa wao wataingilia kati. Wako upande wa Israel na kaagiza vita iishe mara moja.
Chanzo: Jerusalem Post
![]()
Uganda will join Iran war 'on the side of Israel,' military chief warns | The Jerusalem Post
"Israel has a right to exist and attacks against her must stop," Uganda’s Chief of Defense Forces Gen. Muhoozi Kainerugaba said during a series of X/Twitter posts expressing his support.www.jpost.com
Pita pembeni naona unawashwa.Waswahili aisee eti unauliza irani kaunda lini kombora yaani unavyouliza ni kama mtu wa maana vile
Mkuu ACHANA NA HUYO KIAZI. Endelea na mjadala na updates.Wewe ndio uniambie hao wengine au umesahau ulizo kiandika?
Si umeona washaanza kuwalazimisha Mods eti wasiruhusu nyuzi za Iran anavyokula kichapo mpaka ziwe verified.Leta update hata moja ya hao walioshinda vita ( iran) au leo hawaiteketezi Israel?
Black Hawk Chopa imepigwa na wanamgambo wa Iraq source the sun.
View: https://m.youtube.com/watch?v=3To0iBtdF8c&pp=ygUZQmxhY2sgaGF3ayBib21iZWQgYnkgaXJhbg%3D%3D