Lengo kushusha bei ya mafuta, ila kauli Zake zimeshashtukiwa, Alivyodanganya mwanzo mafuta yalishuka, ila karibuni inakula kwake, Mafuta hayashuki, yanazidi kupanda.Aljazeera reports;
-Trump extends Iranian energy facilities strike to 10 more days.
Naona jamaa anazidisha siku tu kunani!?
Hii habari mbaya na chungu sana kwa walokole wa Tanzania
Unafikiri yakipanda nani ataumiaLengo kushusha bei ya mafuta, ila kauli Zake zimeshashtukiwa, Alivyodanganya mwanzo mafuta yalishuka, ila karibuni inakula kwake, Mafuta hayashuki, yanazidi kupanda.
😀😀😀 Mimi naishabikia Iran kwasababu sipendi kuona uonevu na sio kwasababu za kidini kuhusu suala la dini hizo dini huwaga sitaki hata kuzisikiaHili swala lipo pande zote mimi nipo mtwara mjini na hapa waislamu ni 98% na hao wote wanaishabikia iran na wasomi wao wa dini wanaeleza kabisa huu ndio wakati wa mayahudi na makafiri kufa
Chizi yule 😁Uganda.
Kuna tetesi Kainerugaba mkuu wa majeshi na mtoto wa Rais akasema Israel ikizidiwa wao wataingilia kati. Wako upande wa Israel na kaagiza vita iishe mara moja.
Chanzo: Jerusalem Post
![]()
Uganda will join Iran war 'on the side of Israel,' military chief warns | The Jerusalem Post
"Israel has a right to exist and attacks against her must stop," Uganda’s Chief of Defense Forces Gen. Muhoozi Kainerugaba said during a series of X/Twitter posts expressing his support.www.jpost.com
😄😄Mpumbavu Trump wamemstukia uwongo wake sasa, ilikuwa kila akisema Iran wameomba kuongea.. masoko yanapanda, leo pia kaongea uwongo ule ule, yameshuka zaidi ya yalivyoshuka mwanzo wa vita...
View attachment 3563175
Dadeki 😄🔥🔥😊
Even 10 million fighters, they can't defeat U.S 82nd Airborne and U.S marine.
Kipigo Bado Kipo Pale paleUzi umepoa sana! Kwani wameacha kutwangana huko?
Kipigo Bado KipoUzi umepoa sana! Kwani wameacha kutwangana huko?
Anaechangamsha uzi nadhani yuko busy.Uzi umepoa sana! Kwani wameacha kutwangana huko?
Sinema zimekuaribuEven 10 million fighters, they can't defeat U.S 82nd Airborne and U.S marine.
Hao ni wanamgambo tuu
SawaSinema zimekuaribu
Ngoja tusubiri mkuu lakini kitaalamu Kitakacho wagharimu 82nd Airborne niEven 10 million fighters, they can't defeat U.S 82nd Airborne and U.S marine.
Hao ni wanamgambo tuu
Umedanganywa sana na Movie za Michael Dudikof 😂Even 10 million fighters, they can't defeat U.S 82nd Airborne and U.S marine.
Hao ni wanamgambo tuu