Mjegejo huoView attachment 3563385
Tangu nichungulie hili tambala, hata mimi nasema Iran hatoboi, Wajeda wa Marekani ni hatari.
Kama Anodi peke yake amekinukisha hivi katika huu mkanda, Marekani akituma akina Anodi 40 tu shughuli imekwisha.
IRAN ya kipindi kile ilikuwa upande wa Israel ¿¿ sio waraabu.¿¿Hivi ile vita ya siku 7 Israel vs Saudia Egypt sudan hivi iran akuwepo kwenye ile vita
Trump ni mropokaji tu.Trump alituambia amemaliza makombora ya Irqn ila leo vyanzo vya ujasusi vya marekani vinadai kuwa ni theruthi moja tu ta silaha za Iran ndo zemeharibiwa.
Kipigo Bado Kipo
Huyu ni Muizrael Anaomba Kuombewa huko
View: https://x.com/i/status/2037413461106274588
City Thunder OKC lete updates mkuu
Bado sijathibitisha hii taarifa, ila kuna taarifa inasema jana wanajeshi wa Marekani, kikosi kilichokuwa kinajiandaa kwenda Iran kufanya ground invasion kimeshambuliwa na drones plus makombora ya Iran.Kambi za USA Middle East zina wanajeshi zaidi ya 50,000 Ila zimepigwa hata wiki hazijachukua, sasa hivi wanatafutwa mahotelini huko wanauliwa.
Binadamu ni viumbe wenye Akili Sana huwezi Tumia mbinu hio hio kila mda na ukafanikiwa.
Houthi kutoka Yemen jana wameanza kurusha mesile kwenye ardhi ya Myahudi. Jana kambi ya US Saudia imepigwa zikiwemo na ndege zake tatu za KC-135 refueling Tanker ambazo zilikuwa zimepack ,vile vile japo hawakutoa idadi ila ndegeza E-3G Sentry AWACS zitumikazo kama rada zitembeazo angani nazo ziliharibiwa na jana hiyo hiyo Iran alirusha Cluster Bombs kuelekea kwa Myahudi.Bado sijathibitisha hii taarifa, ila kuna taarifa inasema jana wanajeshi wa Marekani, kikosi kilichokuwa kinajiandaa kwenda Iran kufanya ground invasion kimeshambuliwa na drones plus makombora ya Iran.
Majeruhi wa kutosha na vifo vya askari kadhaa.
Pia nimeona sehemu wanasema Yemen nae ameshaingia vitani.
Bado sijathibitisha taarifa hizi.