Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kwahiyo hayo wamarekani hawayajui? Au wewe unayajua zaidi yao?
Wanayajua ndio maana wenye akili timamu wamekataa,ila viongozi wanalazimisha ili kusave face.
Embu fikiria kama wanajeshi elfu 40 walishindwa kuizuia Iran wakati wa mwanzo wa vita wakiwa na vifaa full,wanajeshi elfu 5 wataweza nini wakienda ground invasion kupigana na taifa lenye majeshi matano yenye kila askari laki 6 hadi 7 kila jeshi!???
Trump na wenzake wanaforce kusave face ila wako delusional kwamba bado wana nguvu.
Tupo hapa,vikundi vya Iraq navyo vinawasubiri waingie tu nao wajumuike.
Nakuhakikishia wanajeshi wa US watakaangwa hakuna.
 
Na hapo ndio wanajiroga kupeleka ground troops eti la askari elfu 5.
Wote wanarudi maiti hao.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel imefanikiwa kumuua Alireza Tangsiri ambae alikua kamanda mkuu wa jeshi la majini la Iran.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Netanyahu: tumefanikiwa kumuua Alireza Tangsiri kamanda mkuu wa jeshi la maji la Iran, mikono yakje imejaa damu pia alikua kiongozi kwenye ufungaji wa strait of hormuz
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la mashariki mwa Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kermanshah. Milipuko mikubwa sana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la shiraz
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…