Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Netanyahu: tumefanikiwa kumuua Alireza Tangsiri kamanda mkuu wa jeshi la maji la Iran, mikono yakje imejaa damu pia alikua kiongozi kwenye ufungaji wa strait of hormuz
HIVI NIULIZE, UBORA WA IRANI WANAOSIFIWA NAO NI UPI KAMA VIONGOZI WAO WANAULIWA KILA SIKU KAMA MENDE?
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Jeshi la Israel: tumefanikiwa pia kumuua Behnam Razaei ambae alikua kamanda mkuu wa intelijensia wa jeshi la majini la Iran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la mji wa viwanda nishapur
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya jeshi ansar al Hussein hamedan
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel imefanikiwa kumuua mmoja wa makamanda waandamizi wa jeshi Mohamed Ali kodabakhsh
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kusini mwa Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Trump: Tumeharibu karibu 90% ya launchers za iran, na kama 90% ya makombora yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…