Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ni ujinga mno kupeleka Ground force ya maelfu ya wanajeshi kwenye nchi inayoweza kumobilize Mamilioni ya wapiganaji!
Ego, Trump inamuuma Sana Hormuz kufungwa, Leo imekuwa siku mbaya sana toka Vita vianze soko la Hisa Marekani, as Of now kiujumla Dola Trillion 3.5 zimepotea.

So anataka achukue kisiwa hata siku 1 aanze kuongea uongo wake na namna alivyowashinda Iran.
 
Mpumbavu Trump wamemstukia uwongo wake sasa, ilikuwa kila akisema Iran wameomba kuongea.. masoko yanapanda, leo pia kaongea uwongo ule ule, yameshuka zaidi ya yalivyoshuka mwanzo wa vita...

 
Netanyau na mkewe wameuawa kwa kombora lililopiga kwenye bunker alimojificha usiku wa kuamkia leo majira ya saa7 kwa saa za Israel ..source Masjid Khomenei News... Wazayuni wanaendelea kupukutika..
Kama inakuuma nenda Tel Aviv ukazike.
 
Unaripoti ukiwa wapi?
Netanyau na mkewe wameuawa kwa kombora lililopiga kwenye bunker alimojificha usiku wa kuamkia leo majira ya saa7 kwa saa za Israel ..source Masjid Khomenei News... Wazayuni wanaendelea kupukutika..
Netanyau na mkewe wameuawa kwa kombora lililopiga kwenye bunker alimojificha usiku wa kuamkia leo majira ya saa7 kwa saa za Israel ..source Masjid Khomenei News... Wazayuni wanaendelea kupukutika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…