Sawa. Watakuwa wanachekelea kama Wairan.Kuna utofauti wa ideology baina ya Yemen na Lebanon. Lebanon katika serikali kuna viongozi kwenye ideology ya separatism mfano waziri mkuu. Hivyo vilio lazima.
Ila Yemen raia tunawaona wakiandamana kwa solidarity ya Iran na Palestine. Hao watu wanawezaje kulia mkuu!??
Mlipuko ni mkubwa sana.Israel na marekani zimeshambulia Tehran moto mkubwaa😂
Napenda akisema hivyo
Mlipuko ni mkubwa sana.
😄😄😄😄Waajemi wa JF wameifanya Irani kuwa mshindi. Lakini kwenye uwanja wa vita mambo ni magumu kwa mwajemi. Hata tukiangalia Aljazeera tu, tutawahurumia wairani.
Angalia hlafu tuambie km kuna habar imeokotwa okotwa na kuletwa humu kama anavyofanya Oklahoma city Thunder.Waajemi wa JF wameifanya Irani kuwa mshindi. Lakini kwenye uwanja wa vita mambo ni magumu kwa mwajemi. Hata tukiangalia Aljazeera tu, tutawahurumia wairani.
Msemaji wa Jeshi la ulinzi wa Iran (Khatam Al-anbya) anaeitwa Ebrahim Zolfaqari amesema..
"IRAN imethibitisha kuwakamata Wanajeshi wa Marekani kwenye kisiwa cha Kharg ambapo tukio limefanikiwa kwa usahihi kuwakamata Marines baada ya jaribio lao la kutua kufeli".View attachment 3563716