Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

US si asitishe vita kama anapokea kichapo hivyo dah! Inaonekana Iran majamaa yameamua tu kujizima data.
 
 
Leta source na video tumtumie yule mjuaji wa kipuuzi aliyekuwa anaandika essay za uozo wiki iliyopita akitetea kwamba eti moto ni kwa sababu ya hitilafu
 
Kabisaa
Cheki hapa

View: https://x.com/i/status/2037861818505294277
 
Niliona hiyo video nikasema.."Njia ya Muongo ni fupi "
 
Kabla ya vita marekani alivyokuwa anawatisha wairani kwa ku display hizo carries, walokole wa Sengerema walikuwa wanafurahia sana. Sasahivi hata kuja ku comment hawaji. Aibu imekula kwao🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…