joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
hamis77Hapa akizungumzia hali ilivyokuwa kwenye meli ya Ford wakati ikishambuliwa.
View: https://m.youtube.com/shorts/eaJoFcuaCDMHapa akimtukana Mfalme wa Saudi.
View: https://m.youtube.com/watch?v=8GhqZ0sSToc
InasemekanaInasemekana Hesbullah wanatembeza kichapo cha maana huko.
Iran bado anasema anaoption nyingi.
Kufunga ile ghuba nyingine kule karibu na Yemen.
Kukata cable za Internet baharini ambazo zinachangia karibu 40% ya mawasiliano Duniani.
Hii ngoma bado mbichi sana, na kadili wanavyoua viongozi wa kiraia wahuni wa IRGC wanabaki wakiendesha vita bila maelekezo.
Yule kijana wa Museven ni kama anatumia janiUganda imeshatuma jeshi kwenda kuisaidia Israel?
Hivi mnatumia Nini kufikiri??US si asitishe vita kama anapokea kichapo hivyo dah! Inaonekana Iran majamaa yameamua tu kujizima data.
Wanamla kichwa huyu j3 haifiki
🤣😁Kumbe leo kulikuwa na maandamano ya kupinga vita huko Tel Aviv….
Ze comedy kwakuwa Kuna habari nyingi zinazo onyesha kuwa Israel na USA wanapewa mkong'oto, things are falling apart Huamini unacho kiona !? Picha za Rambo zilikudanganyaHii thread imekuwa ze komedi
RRONDO unazungumziaje hizi kauli za trump!?Hapa akizungumzia hali ilivyokuwa kwenye meli ya Ford wakati ikishambuliwa.
View: https://m.youtube.com/shorts/eaJoFcuaCDMHapa akimtukana Mfalme wa Saudi.
View: https://m.youtube.com/watch?v=8GhqZ0sSToc