Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,046
- 4,447
Ila israel....Times of Israel;
Hizbollah are fighting inside Northern Israeli borders,clashes are reported inside Kiryat Shmona,Galilee and Metula.
Ndio maana Mayor wa Kiryat Shmona na Galilee waliifokea serikali kuwa wameshindwa kulinda raia wa hayo maeneo.
Tunachoomba sisi vita zao zisiathiri maisha yetu ya huku Afrika. Hayo mengine watajuana wao.Maana Hormuz imefungwa na wakifunga Baab Al mandib sio tu mafuta bali hadi bidhaa zingine zitapanda bei.Ila israel....
Mda wote yuko vitani, ni lini hawa watu watapumnzika kupigana
Times of Israel;
Hizbollah are fighting inside Northern Israeli borders,clashes are reported inside Kiryat Shmona,Galilee and Metula.
Ndio maana Mayor wa Kiryat Shmona na Galilee waliifokea serikali kuwa wameshindwa kulinda raia wa hayo maeneo.
Upo saaii kwa %100 tena wanawaficha kama mabint zao!!!Nlichojifunza kwenye hii vita.
Nchi za kiarabu ndio zinalinda kambi za marekani na sio marekani kulinda nchi za kiarabu kwa zile kambi zake.
Huu uongo mnajifunzia kwenye vijiwe vyenu sioNetanyahu kafa tangu March 8
Nilisema apa kama wiki sasa🤠🤠
Netanyahu watazuga kumtaftia kashfa kisha tutaambiwa kujiuzulu kwa iyo kashfa ndio kwishaaa habari ya Netanyahu 💀🤠🤠
Israel watateuwa PM mpya na MEDIA kubwa zitapewa pesa zenyewe zitaongelea tu iyoo kashfa na kujiuzulu kwake Netanyahu
sio zaidi
Siku moja moja tutasikia Netanyahu anaenda Mahakamani lkn ndio ivyo kitengo cha Propaganda cha IDF kinakuwa kazini na AI
Narudia NETANYAHU kafariki,, kuja kujua ni miaka kadhaaa!!!
au Serikali ya Israel idondoke tutajua mengi tu kipindi ichi ,
So Leo umekubali kwamba radar zilibondwa !!!😁😁Tumia akili zako vizuri radar haihamishiki unless otherwise!! Ndege unaweza irusha ukaipeleka KIA
Democratics hao wanaandaa mazingira uchaguzi ujaoWaamerika wanaandamana, Trump is making Amerika great again, shida nini tena hawa Waamerika!?
Ndio tuseme Chadema wa Tz washanusa fursa !!Democratics hao wanaandaa mazingira uchaguzi ujao
Wewe ndio hujitambui mada 3 zote zimeandikwa SI KWELI na Jamiicheck. Lini umewahi ona post yangu nimeandika uzushi? Zote ni facts na zinakua na reference tena kwa media za West unazoziamini.Wewe na mmeo zitto junior ni walewale hamjitambui kabisa!!