Nilipata changamoto ya maradhi, sasa hivi kidogo afadhali
Nimeona BBC wachambuzi wanasema Trump kwenye press yake ameenda kurudia copy na kupaste yale aliyokuwa anasema kwenye mitandao ya kijamii wiki nzima.View attachment 3566006
Hii hotuba ya Trump haina jipya. Ni majigambo yale yale ya kila siku anayoandikaga kwenye mtandao wake wa kijamii.
Sielewi hata kwa nini aliamua kuitoa muda huu wa prime time.
Nimepoteza dakika zangu 20 za bure kabisa.
Mda si mrefu atavilaumu vyombo vyake vya Intelejensia,kwamba vimemdanganya.Haya trump mwenyewe kakiri alitegemea vita vitaisha ndani ya siku 3, wale mliokupa mkibisha yapo wapi?
View attachment 3565998
Wewe jamaa hujui ku summarize. Unachosha sanaMWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA TRUMP π₯ π₯ π₯ π₯ π₯
USS GEORGE H.W BUSH IKIELEKEA MASHARIKI YA KATI
USS George H.W. Bush iliondoka rasmi katika kituo cha jeshi la majini cha Norfolk, Virginia nchini Marekani siku ya Jumanne iliyopita, Machi 31, 2026.
Kwa sasa meli hiyo inakatiza Bahari ya Atlantic ikielekea upande wa Mashariki. Safari ya kutoka Marekani hadi kufika Bahari ya Shamu (Red Sea) kwa kawaida huchukua kati ya wiki mbili hadi tatu, kutegemea na kasi na kama itasimama njiani (mfano Mediterranean).
Inatarajiwa Lini?
Inakadiriwa kuwa itawasili katika eneo la majukumu la CENTCOM (ambalo linajumuisha Bahari ya Shamu na Ghuba ya Uajemi) katikati ya mwezi Aprili 2026.Mara itakapofika, itaungana na USS Abraham Lincoln ambayo tayari ipo katika Bahari ya Arabia ikifanya mashambulizi dhidi ya Iran. Hii itafanya Marekani kuwa na jumla ya meli tatu kubwa za kivita (Carriers) katika eneo hilo kwa mara ya kwanza tangu vita vianze.
Kikosi Kinachoambatana Nayo (Strike Group)
Meli hii haiji peke yake; inakuja na nguvu kubwa ya kijeshi:
Meli za Kusindikiza: Inafuatana na waharibifu (destroyers) watatu: USS Ross, USS Donald Cook, na USS Mason.
Ndege za Kivita: Inabeba takriban ndege 90, zikiwemo F/A-18 Super Hornets na ndege za kisasa za kielektroniki za EA-18G Growler.
Huwa inaambatana na angalau nyambizi moja au mbili za mashambulizi ya nyuklia (mfano: Virginia-class au Los Angeles-class).
Iko wapi? Inatembea kilomita kadhaa mbele au pembeni mwa meli kubwa, lakini ikiwa chini ya maji.
Kazi yake
Ni kuizuia nyambizi yoyote ya Iran au adui mwingine isisogee karibu na USS Bush. Pia, inasikiliza milio ya injini za meli za adui kwa kutumia mfumo wa kisasa wa Sonar.
Nyambizi inayosindikiza Bush hivi sasa kuelekea Mashariki ya Kati ina uwezo mkubwa:
Tomahawk Missiles: Inaweza kurusha makombora ya Tomahawk yakiwa chini ya maji bila adui kujua yapi yanatokea wapi. Hii inaongeza nguvu ya mashambulizi ya anga yanayofanywa na ndege za F/A-18 zilizopo juu ya staha ya Bush.
Special Ops: Inaweza kubeba makomandoo wa Navy SEALs na kuwashusha pwani ya Iran kwa siri kubwa usiku wa manane.
Nachelea kusema una reasoning capacity ndogo sana. Before hii vita Iran alifunga huo mlango bahari?Tumia basi akili mkuu acha USHABIKI wa kipuuzi
Kwani mashmbulizi mengi yanatokea baharini ??
Kushambulia meli za kiraia kunasaidiaje kuzuia adui ?
Kwani angeamua kuzikagua akaziruhusu kungeleta athari gani
Akaamua kuumiza makumi ya nchi Kwa failure yake
Ngoja wayahudi wa vigwaza waje kukutukana matus mazito mazito1.wakristo wa Bongo wanafurahia Iran kupigwa na U.S,ilhali Iran mafuta yake anauza China,ambayo inauza bidhaa cheap 80% lower ya bidhaa hio hio ikiuzwa U.S to Africa,
2.mtu anakuambia ni haki Israel kuipora ardhi Palestine sababu andiko limesema,unamuuliza unaweza nipa ramani ya Israel kwenye hilo andiko anaishia kutukuna
3.wakristo wengi hawampendi Samia,ambaye anafanya mabaya yale yale ya JPM waliokua wanampenda,wanataka ashitakiwe ICC ilhali nyetanyahu mwenye arrest warrant ya ICC,wanashangilia kua ni shujaa kwa kuua GAZA
4.Unakuta wakrsisto wanadharau na kuwatukana wazanzibar kua hawajasoma ,ilhali Zanzibar Ina population sawa na Kagera,Kilimanjaro ama Mara kwenye obvious wakristo wengi,lakini per capital ya Zanzibar ni $2500 ya hio mikoa ni chini ya $1000,Zanzibar in maendeleo mara 10 ya Mkoa wowote hapa Tanzania bara ukiacha Dar es salaam na waislam kule ni 99%,sa kuna haja gani ya kusoma sana Kisha unakua MASIKINI,ukienda Bukoba stendi ya mabasi tu kichekesho,na ndio kuna maprofessor wengi hukoπ€£π€£,maana yake we ni mbumbumbu
4.Pombe ni among top carcinogen na ina addiction,mkristo anaaminishwa kanisani kua anywe ila asilewe na anakubali kabisa kua andiko limesemaππ«π,
5.kibailojia sex is necessary,hata kama sio kwa kuzaliana,mkristo anaaminishwa kua viongozi wao wa dini Sex no,na anakubali kabisa kua kupitia roho mtakatifu,viongozi wao HAWATOMBANIπ€£π€£
wakristo wengi wasomi lakini reasoning yao ni ndogo sababu dini yao inawaaminisha,haiwafanyi wafikirie tofauti na UISLAM,itakupa Kila sababu ya kwa nini pombe haramu,Kuoa mke zaidi ya mmoja,kutokula nguruwe etc,tena katika scientific way kabisa
wakristo wengi wasomi lakini hawareasons accordingly,na elimu yao haiendani na maarifa/ama ujuzi wao
Hii comment yako imeonesha ni kwa kiasi gani ulivo mdini. Kwanza hapa sio pahala pake.1.wakristo wa Bongo wanafurahia Iran kupigwa na U.S,ilhali Iran mafuta yake anauza China,ambayo inauza bidhaa cheap 80% lower ya bidhaa hio hio ikiuzwa U.S to Africa,