Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Bwana Yesu akupe afya njema reporter wetu.

Tupe NEWS mtumishi wa Mungu, hasa zile ambazo Israel/USA zinavyomponda Iran.

Kumbeee YESU uyu uyu kashindwa kuzuiya MAKOMBORA ya Iranian ya Yemen kwenda kwa toto lake pendwa!!!!!

Ndugu iyo TELA AVIV shukuru Wanazuiya kupigwa picha ungelia kizugua!!!!
 
Ndiomana Trump yupo mbioni kutaka kushambulia kwa B-52 miji ya Iranian🀠🀠 Tela Aviv hakuna maisha watu wanaondoka miji mengine.. hakuna maji Safi hakuna Gas hakuna Umeme

Mji umevunjwa vunjwa!

YEMEN anapiga IRANIAN Anapiga Hezbollah yupo na Haifa na vitongoji vyake l!!!

HUU ndio Utatu Mtakatifu uliobarikiwa kwenye Vitabu Vitukufu!!
 
Ha ha ha eti mwaga moto mwingi kama Dragons.
 

Trump’s speech was sign of β€˜desperation’: Analyst​


US President Donald Trump has β€œno real options” aside from trying to strike a deal with Iran, an analyst has told Al Jazeera.

08:45 GMT

 

Israel targeted by Iranian missiles, IDF says​


The Israeli military says it has identified missiles launched from Iran towards Israel.

In a statement, the IDF said its defence systems are operating to "intercept the threat".

06:26


 
Mbona unaenda viral mkuu!?
Mie nimetoa tu perception zangu kuwa yupo one sided. Sasa masuala ya uajemi yanatokea wapi!??
Mie sipo huko unakonipeleka.
 
Mbona unaenda viral mkuu!?
Mie nimetoa tu perception zangu kuwa yupo one sided. Sasa masuala ya uajemi yanatokea wapi!??
Mie sipo huko unakonipeleka.
Ninawashangaa sana nyie Wairani wa Mafisa kwa Mambi. Mnashambulia watu kwa matusi na kutaka watu wafanye kile na kupost kile mtakacho nyie.

Kimsingi suala la vita hii limeoneshanuchi wa akili yenu nyie makobazi. Ni kulalamika, kutukana na kulazimisha wengine wafanye mtakacho nyie.

Inasikitisha sana.
 
Un unajua Iko control nani
 
Wewe tumekuruhusu leta za upande wa pili usipangie mtu Cha kuandika

Jukwaa huru hili Jamani
Mnachosha mjue 😏
 
Nachelea kusema una reasoning capacity ndogo sana. Before hii vita Iran alifunga huo mlango bahari?
Huna uwezo wa kuelewa athari za maamuzi ya kipuuzi ya Iran Hadi utakaposhindwa kurejesha Hela ya boda boda ya watu

Mfano mrahisi
Kwa hiyo ukigombana na jirani yako akikushinda unaweka mawe barabarani Ili kuzuia wapita njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…