100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Pro US hadi sasa na wenyewe hawamuelewi Trump..Siku nyingine wewe,Trump na mwenzio Echolima mnatuambia Iran wanafanya mazungumzo na USA,siku nyingine mlituambia Iran amekubali masharti ya Iran ameomba vita iishe,leo wewe na Trump mnatuambia Iran inatakiwa ifanye makubaliano kabla hajachelewa sana..Jamani! Hamuoni kama nyie watatu ni mazwazwa na ndio maana watu wanawapuuza? Mlishasema Iran kashaomba majadiliano na kakubaliana na nyie leo mnasema anatakiwa akubali mazungumzkπtuwaeleweje?
Mtu mdini, ni mpungufu wa akili.Kuna wajinga wachache wanaleta udini.
Lkn vita hii sio ya kidini.
Unaweza kuzaliwa na IQ kubwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchanganua mambo lakini dini ikakufanya ukawa mjinga , hapo hutumii akili zako bali za kuambiwa na mtu ambae unamzidi uwezo wa kufikiri na pengine elimu ya darasani unamzidi mbali sana.Mtu mdini, ni mpungufu wa akili.
Mayahudi kwa hila na Umafia levo nyingine , taifa kubwa kama Marekani limekuwa mdebwedo . Inawezekana Kuna nyaja muhimu wameshikiliaKama Trump anafanya haya kwa sababau ya Epstein files(kitu ambacho naweza kuamini tokana na maamuzi ya hovyo yasiyoeleweka anayofanya Trump) ambapo inasemekana wayahudi wamemkalia kooni afuate matakwa yao kwa kitisho cha kumuweka hadharani na kumchafua, hivi CIA ipo wapi?
Kama epstein files zinakuwa threat kwa rais wao na kitu kinachopelekea kuiweka Marekani kwenye hali ngumu, CIA wanashindwa ku neutralize hali hio ili kuliokoa taifa tokana na maamuzi ya kipuuzi na kijinga anayofanya Trump? CIA wanashindwa kukabiliana na hayo magenge ya kiyahudi chini kwa chini? Hivi CIA wanazidiwa na Mossad?
Maana Trump amekuwa kituko.. kitu kinachofanya niamini moja ya sababu za hii vita ni Epstein files maana si kwa ujinga huu..
we jaluo nyeupe umerudi na milipuko mikubwa πMilipuko mikubwa sana
Secretary of War Pete Hegseth has asked Army Chief of Staff General Randy George to resign and take immediate retirementIsrael na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la baneh
Wazalishaji wakubwa mafuta Duniani wanatumia wenyewe kwa Maana Urusi, USA na China, so hio 20% unaona ndogo sababu ni percent ya mafuta yote na sio percent ya surplus inayotakiwa kwenda sehemu nyengine.Kwanini Hormuz inayopitisha 20% ya mafuta duniani imeleta athari kubwa namna hii??
80% zinapita wapi??
Dunia yote inalalamika je kusema Hormuz inapitisha 20% tu ya nishati ni data za upikaji?? Kwa maana inawezekana hormuz inapitisha zaidi ya 20%??? Majibu tafadhali.