Hilo daraja limepigwa kimkakati mkuu ndo linaunganisha Tehran na mji wakijeshi nasiraha nyingi zinapitia hapo kwaio nipigo kubwa mno IranSasa wanapiga hospitali na madaraja
Kweli Iran kawashika pabaya
Malengo ya USA sio kuidhoofisha Iran hayo ni malengo Yako weweKuomba usaidizi nato haimanishi Us kaishiwa ila nikatika mambo yao yaumoja afu inabid utambue USA hajaomba wanajeshi au zana ameomba kambi na airspace kwenye izo nchi za NATO, malengo makubwa ya marekan na Israel nikuidhoofisha Iran kwamaslahi yake Iran ilishakua kambale pale middle east that why Trump anatamba kutaka kuirudisha Iran kwenye zama zamawe nakwel Iran kwenye hili anapoteza leo bunker buster zimeharibu kabisa mji wakinuclear wachini yamilima, daraja kubwa zaid middle east limebomolewa, miundombinu yakijeshi imeharibiwa, iran navy, iran air force zote zimevurugwa
Bora wewe mkuu. Uko Marekani (nadhani), unapinga uvamizi wa Marekani kwenye taifa huru. Lakini uko vizuri kichwani. Huongozwi na mihemko ya kidini wala ushabiki wa kijinga.Wanajeshi wengi wa Marekani wameuwawa?
Chanzo cha hizi habari ni nini/ kipi?
US hawezi kumuacha Muisrael.Hii vita US akijitoa Myahudi itabidi awe mpole tu na US mwenyewe mda si mrefu anajitoa kwani vita inampa hasara, hata Rais mwenyewe, Secretary of Defence, Pentagon na Viongozi wanavurugana,wanaongea vitu tofauti, maara General ambiwe ajiuzuru,mara huku mwanasheria mkuu nae aondolewe, mara Mkuu wa kitengo cha Counterterrorism ajiuzulu, mara Trump awalaumu NATO na NATO mwenyewe wamemlia buyu,Congress Trump hawataki kabisa kusikia upuuzi wake wamenyima USD bil 200 alizoomba kwa ajili ya hii vita.
Myahudi hawezi kufanya chochote bila msaada wa US kwenye hii vita na US mda si mrefu anarusha taulo kwani dalili zimesha jionyesha ni swala la mda na Myahudi ataomba meza ya majadiliano nae mda si mrefu.
Ni sawa na bondia anayepigana huku amefungwa mikono yote na pingu lakini anampiga mpinzani wake vichwa kila anapomsogelea.Miaka 47 wamewekewa vikwazo lakini bado wanawatwanga.....Je wasingewekewa vikwazo????????Yeah Iranians wameprove wrong watu wengi sana
Indeed π―π―Ni sawa na bondia anayepigana huku amefungwa mikono yote na pingu lakini anampiga mpinzani wake vichwa kila anapomsogelea.Miaka 47 wamewekewa vikwazo lakini bado wanawatwanga.....Je wasingewekewa vikwazo????????
Imam Hussain ni mjukuu wa Muhammad SAW kupitia binti yake Fatma na Ali, Caliph wa NneWakuu samahani kwa nini waIran wengi wanajiita "We are the nation of Imam Hussain" nimeona sana hii wakiitumia pia wakiunganisha "We are the nation of Martyrdom" kuna uhusiano wowote ?
Anayejua lolote kuhusu hizi sentensi mbili nilizoweka hapa anaweza share maarifa yake tafadhali
Mkuu unajichosha tu kuwaelimisha hao waliokimbia shule. Hapo hakuna wanachoelewa zaidi ya ubishani wa kishamba.Kuomba usaidizi nato haimanishi Us kaishiwa ila nikatika mambo yao yaumoja afu inabid utambue USA hajaomba wanajeshi au zana ameomba kambi na airspace kwenye izo nchi za NATO, malengo makubwa ya marekan na Israel nikuidhoofisha Iran kwamaslahi yake Iran ilishakua kambale pale middle east that why Trump anatamba kutaka kuirudisha Iran kwenye zama zamawe nakwel Iran kwenye hili anapoteza leo bunker buster zimeharibu kabisa mji wakinuclear wachini yamilima, daraja kubwa zaid middle east limebomolewa, miundombinu yakijeshi imeharibiwa, iran navy, iran air force zote zimevurugwa
Yeah, US na Israel bado karata zipo upande wao, bado mashambulizi yao yana impact nzuri zaidi upande wao.US hawezi kumuacha Muisrael.
Pia nakiri Iran ni taifa kubwa lenye nguvu na silaha nyingi, hivyo kumshinda inatakiwa maarifa mengi. US na Israel wameonyesha uthubutu.
Hao hawaeleweki kama mwanamke mjamzito mara Leo maneno haya mara kesho hivi mara vileNaona Intelijensia ya Marekani leo inakiri kuwa Iran bado inamiliki Launchers za kutosha tu.
Naona hawa kila siku wanabadili stori
Utawala wa Iran hauwezi kuanguka wewe Muisrael feki mweusi. Kwa taarifa yako hawarushi makombora mengi kwa sababu wameshadhoofisha makombora ya ulinzi ya Marekani na ghuba, Kwa hiyo wakirusha kombora moja kwa siku au kwa siku tatu inatosha kabisa kuleta mtafaruku. Soma tahariri mbali mbali (Oped) kwenye vyanzo vinavyoeleweka ambavyo vina references. THAAD, David Slings na Iron dome makombora yake ya ulinzi yamekaribia kwisha na kutengeneza moja inachukua muda. Iran's strategies ilikuwa kuichosha hizo system za ulinzi wa anga, kitu ambacho kimefanikiwa sana, waisrael na wamarekani wamebakiza machache, hivyo akipiga kombora moja hasa zile zenye "cluster" wanayaacha yaanguke.....HAKUNA JINSI.Yeah, US na Israel bado karata zipo upande wao, bado mashambulizi yao yana impact nzuri zaidi upande wao.
Ile kasi waliyoanza nayo Iran kushambulia kila sehemu naona imepungua.
Huu utawala wa Kiislamu utaenda kuanguka pale Iran.
We kweli akili huna,yani daraja ambalo bado lipo kwenye ujenzi na wala halijaanza kutumika ndio unasema silaha nyingi zinapita hapo.Hilo daraja limepigwa kimkakati mkuu ndo linaunganisha Tehran na mji wakijeshi nasiraha nyingi zinapitia hapo kwaio nipigo kubwa mno Iran
Wapi aliposema atamaliza vita kwa siku 3 ??Haya trump mwenyewe kakiri alitegemea vita vitaisha ndani ya siku 3, wale mliokupa mkibisha yapo wapi?
View attachment 3565998
Ndivyo mnavyodanganyana huko kwenye misikiti yenu???Utawala wa Iran hauwezi kuanguka wewe Muisrael feki mweusi. Kwa taarifa yako hawarushi makombora mengi kwa sababu wameshadhoofisha makombora ya ulinzi ya Marekani na ghuba, Kwa hiyo wakirusha kombora moja kwa siku au kwa siku tatu inatosha kabisa kuleta mtafaruku. Soma tahariri mbali mbali (Oped) kwenye vyanzo vinavyoeleweka ambavyo vina references. THAAD, David Slings na Iron dome makombora yake ya ulinzi yamekaribia kwisha na kutengeneza moja inachukua muda. Iran's strategies ilikuwa kuichosha hizo system za ulinzi wa anga, kitu ambacho kimefanikiwa sana, waisrael na wamarekani wamebakiza machache, hivyo akipiga kombora moja hasa zile zenye "cluster" wanayaacha yaanguke.....HAKUNA JINSI.
Malengo ya USA sio kuidhoofisha Iran hayo ni malengo Yako wewe
Wote tunaofuatilia hii vita tangu inaanza USA na Israel walisema kwamba malengo yao ni kubadilisha utawala wa Iran( regime of change, )Naona unaleta mahaba kwenye mambo yanayo hitaji fact , .
Sisi mashabiki wa Iran hatupingi kuwa Iran haipigwi hakuna Mahala tumeshawahi kusema hivyo Tunacho furahia sisi ni ushindani Anao utoa Iran wakati tuliaminishwa kwamba Iran ni dhaifu,
Umesema kwamba USA wanapo iomba NATO hawaombi vifaa vya jeshi !? You must be kidding fuatilia Tena mkuu inaonekana huna data Vizuri au mahaba Yana kusumbua π€£
Nam Naam wameshikwa pabaya sanaRegime change imeanzia US
Hao chini wote ni Generals wameondoshwa au kufukuzwa kazi
Hii haiwezi kutokea kama kila kiko sawa
Sababu pekee kwa kuwatimua kazi wanajeshi wakuu katikati ya vita ni kwamba walikataa kufuata maagizo.
Sababu pekee respected generals wangekataa kufuata maagizo ya Waziri ni kwamba maagizo hayo yalikuwa ya wazimu au hayatekelezeki au rule of engagement haziruhusu, kama hiyo kuharibu infrastructure za kiraia na kuua bila sababu wakijua ni war crimes
Generals wa Iran wanaendeleza mapambano licha ya kuuawawa kila siku
Kwa hali inavyoendelea hata waziri wa vita atatimuliwa tu
πππ Wao hawafi ni Ma- terminator πTaifa teule a.k.a wazee wa kudanganya!!!!!!!!!!
Cluster warhead hits central Israel - as figures reveal more than 6,500 Israelis injured since start of war
In the last 24 hours, 148 people have been taken to hospital as a result of the war with Iran, the Israeli health ministry says.
This takes the total number of people hospitalised since the start of the conflict to 6,594, with 124 people currently receiving care.
10:22
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com