Endelea tu kujifariji kwa kipigo anachopata Iran!!!Regime change imeanzia US
Hao chini wote ni Generals wameondoshwa au kufukuzwa kazi
Hii haiwezi kutokea kama kila kiko sawa
Sababu pekee kwa kuwatimua kazi wanajeshi wakuu katikati ya vita ni kwamba walikataa kufuata maagizo.
Sababu pekee respected generals wangekataa kufuata maagizo ya Waziri ni kwamba maagizo hayo yalikuwa ya wazimu au hayatekelezeki au rule of engagement haziruhusu, kama hiyo kuharibu infrastructure za kiraia na kuua bila sababu wakijua ni war crimes
Generals wa Iran wanaendeleza mapambano licha ya kuuawawa kila siku
Kwa hali inavyoendelea hata waziri wa vita atatimuliwa tu
Hiyo kwa Wafuga Midevu na Majini wanaita TAQIYAH yaani kusema uongo kwa ajili ya Mnyazimungu wao!!The IRGC claims it has shot down a second US F-35 over central Iran, according to a Telegram post by Fars News Agency.
The jet was “completely destroyed” on impact, the report said.
06:03 GMT
RT - Breaking News, Russia News, World News and Video
RT is the first Russian 24/7 English-language news channel which brings the Russian view on global news.www.rt.com
Mimi siyo muislam kaka, ni mkristo, na nimekaa Israel kwa miaka 2. Najua jinsi nchi ile ilivyo, sidanganywi na mtu, sipo Israel kwa sasa lakini nina marafiki wengi waki-jews, rafiki zangu wote wana misimamo inayopingana na Netanyahu na wale wachache ambao ni Orthodox jews ambao wanafuata Halakha (Msimamo wenye mrengo mkali wa kulia, na si wengi kwa namba yao) wengi wao wanampinga Netanyahu na sasa opinion polls imebadilika asilimia 46 tu ya waisrael wote wanaona hivi vita vina faida kwa nchi, hawa ni kutoka asilimia 67 mwezi mmoja uliopita. Wewe unajua huyu Netanyahu amesababisha Israel kuwa ya nchi ovyo kuliko ilivyokuwa? Au unapanua domo tu bila kuwa na idea? Wewe unaweza kuwa mkristo kama mimi.....SAWA, je unajua hata sisi wakristu tunabaguliwa huko Holy Land? (Sidhani kama umefika huko, ungefika na ukaona unavyobaguliwa kutokana na rangi yako na dini yako ungeshangaa na kufadhaika mno). Unajua juzi tu, wiki iliyopita jumapili, Cardinal wa Jerusalem, Pierbattista cardinal Pizzaballa alikatazwa kufanya misa jumapili ya Matawi (Palm Sunday)? Hao wanaotetea waisrael hasa maseneta ya Marekani wakaingilia kati, but it was too late.Ndivyo mnavyodanganyana huko kwenye misikiti yenu???
Safari ndio anamwacha, maana kuna dalili nyingi za US,kutupa taulo sasa leo Mageneral kumi na mbili unawaondoa, unategemea nini?US hawezi kumuacha Muisrael.
Pia nakiri Iran ni taifa kubwa lenye nguvu na silaha nyingi, hivyo kumshinda inatakiwa maarifa mengi. US na Israel wameonyesha uthubutu.
Niongeze maarifa tofauti ya majeshi haya, na utendaji kazi(majukumu yao)-IRGC-Iran revolutionary guards corps.
-Basirj millitants.
-Khatam Al anbiya.
-Iran national regulary army.
Ila hawa ndiyo wanasema ukweli??wanaita TAQIYAH yaani kusema uongo kwa ajili ya Mnyazimungu wao!!
Ndivyo mnavyodanganyana huko Misikitini?Safari ndio anamwacha, maana kuna dalili nyingi za US,kutupa taulo sasa leo Mageneral kumi na mbili unawaondoa, unategemea nini?
Hao Majeruhi 1,500 ni kwa mjibu wa Masjid-Ubwabwa?? Maana habari hii Sijaona popote hata sky news Sijaiona!!Ila hawa ndiyo wanasema ukweli??
Cluster warhead hits central Israel - as figures reveal more than 6,500 Israelis injured since start of war
In the last 24 hours, 148 people have been taken to hospital as a result of the war with Iran, the Israeli health ministry says.
10:51
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Nb:Jaribu kutumia lugha yenye staha hata kama unalipwa.
wale jamaa wa iran inaenda kupatiwa demokrasi wamekua kimya sana wiki za hivi karibuniMarekani ni kama wameanza kusahau lengo lao la Vita yaani
Kuharibu uwezo wa Iran kurusha na kutengeneza makombora pia uwezo wa kutengeneza na na kurusha drones.
2. Kubadilisha uongozi kutoka uongozi wa kidini wa Iran na kusimika uongozi wa pro America- Israel.
3. Kutafuta kupata, na kuiteka enriched uranium ya Iran isemwayo kuwa imefikia asilimia 60 hivi na ipatayo kuwa ni kilo 450-450. Na itoshayo kabisa kutengeneza mabomu 10 ya nuclear.
4.Kumiliki uchumi wote wa Iran utegemeao mafuta.
Hali imekwa mbaya kwa sasa Marekani hawaelewi Cha kufanya. Wanajaribu kutisha Iran kwamba watairudisha zama za mawe!
Wamebakia kuvunja madaraja tu.wale jamaa wa iran inaenda kupatiwa demokrasi wamekua kimya sana wiki za hivi karibuni
trump tapeli sana yule jamaaWamebakia kuvunja madaraja tu.
Iran anakuwa regional super power na uchumi wake utakua kwa Kasi Sana,Kama wanajf, ikitokea US na Israel wakaondoka bila kutimiza malengo Yao kama walivyokusudia je Nini kitatokea hapo Mashariki ya kati?
Hiyo ni kawaida kwa wakuu wa vyombo husika kubadirishwa au kufukuzwa kabisa!!Sababu hazijawekwa wazi kwa majenerali kutolewa wakati jeshi likiwa bado lipo vitani ?
Bora umweleze ukweli huyo Goyim kama wanavyoitwa ajieleweMimi siyo muislam kaka, ni mkristo, na nimekaa Israel kwa miaka 2. Najua jinsi nchi ile ilivyo, sidanganywi na mtu, sipo Israel kwa sasa lakini nina marafiki wengi waki-jews, rafiki zangu wote wana misimamo inayopingana na Netanyahu na wale wachache ambao ni Orthodox jews ambao wanafuata Halakha (Msimamo wenye mrengo mkali wa kulia, na si wengi kwa namba yao) wengi wao wanampinga Netanyahu na sasa opinion polls imebadilika asilimia 46 tu ya waisrael wote wanaona hivi vita vina faida kwa nchi, hawa ni kutoka asilimia 67 mwezi mmoja uliopita. Wewe unajua huyu Netanyahu amesababisha Israel kuwa ya nchi ovyo kuliko ilivyokuwa? Au unapanua domo tu bila kuwa na idea? Wewe unaweza kuwa mkristo kama mimi.....SAWA, je unajua hata sisi wakristu tunabaguliwa huko Holy Land? (Sidhani kama umefika huko, ungefika na ukaona unavyobaguliwa kutokana na rangi yako na dini yako ungeshangaa na kufadhaika mno). Unajua juzi tu, wiki iliyopita jumapili, Cardinal wa Jerusalem, Pierbattista cardinal Pizzaballa alikatazwa kufanya misa jumapili ya Matawi (Palm Sunday)? Hao wanaotetea waisrael hasa maseneta ya Marekani wakaingilia kati, but it was too late.
Unaelewa kuwa watu wa dini nyingine hata hao wakristo wanabaguliwa huko Israel? Isipokuwa jews wenyewe, tena jews wale weupe, wenzangu (Falasha) wanaonwa kama watumwa, sembuse wewe mwenye ngozi nyeusi? Endelea kujifanya myahudi mweusi, hawa jamaa ni wabaya mno....HAWAFAI. Kama walimuua Jesus christ, aliyekuwa myahudi mwenzao, watakuthamini wewe? Hivi mnaelewa kweli au mnadanganywa huko mnakokuwa?