Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mlokole mavi katika ubora wako
 
Kwa sababu zisizojulikana 😂
Kwani ili uwe pro haswaaaa lazma ujitoe akili eeh 😂
 
Nimepitia hiyo link hakuna popote walipo sema kuna majeruhi 6,500 porojo zako tu unatusumbua nazo!!!
Samahani, sifahamu uelewa wako coz nidanganye ili iweje?? Unasema umeisoma link, umeisoma yote??

Hiyo heading ni wao Sky news plus muda.
Unahisi haiwezekani?? Idadi ni kubwa au ndogo??

1 day ago — ... Israel - as figures reveal more than 6,500 Israelis injured since start of war. In the last 24 hours, 148 people have been taken to hospital ..
https://news.sky.com/story/a-13509565
https://news.sky.com › story
 
Kitu kinachonishangaza ni kwamba ndege zaidi ya 3 zipo katika anga la Iran, kwamba hadi sasa hakuna mfumo wowote ule wa anga ulioweza kuzidungua, tena katika ndege hizo baadhi ya ndege ni Helicopter ambazo ni rahisi kabisa kuzidungua
Mbona hushangai ndege kubwa ya kijasusi ya USA inayokusanya data nyingi sana kwa eneo kubwa sana ilipigwa kombora na haikua hata kwenye anga la Iran ila Saudi Arabia.
Source: https://www.cnn.com/2026/03/30/middleeast/us-air-force-awacs-jet-destroyed-saudi-arabia-intl-hnk-ml
 
Marekani wameingia kusini mwa Iran kutafuta eneo ambalo ndege ya Marekani vita ya Marekani F-15 imeanguka kwa sababu zisizojulikana hadi sasa (Unknown causes) imeelezwa rubani bado wako salama kabisa kwahiyi wamekwenda kuwachukua.
Sababu zinajulikana, ni surface to air missiles za Iran. Acha kuwa delusional, ishi kwenye uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…