The New York Times: another American combat aircraft of the "A-10 Warthog" (Hog) type crashed near the Strait of Hormuz.Kuna taarifa ndege nyengine imeanguka huko Hormuz sijui ni kweli ?
Ni huzini siku ya leo. Uchi wa kuku uko waziπThe New York Times: another American combat aircraft of the "A-10 Warthog" (Hog) type crashed near the Strait of Hormuz.
At about the same time, an F-15E was also shot down over Iran.
Tayari walishaanza , sasa unalenga chuo kikuu, huko si kuzidiwa?Bila shaka maana reaction ya Wairan imekua tofauti kabisa na jinsi mambo yalivyokua yanakuzwa si ajabu kuona Marekani na Israel kuchanganyikiwa na kuanza kulenga miundombinu ya kiraia kama wendawazimu.
BREAKING:
Iran rejects all U.S. demands and refuses to meet with American officials in Pakistan.
Iran has officially told mediators it is not willing to meet US officials in Pakistan in the coming days and the US demands are "unacceptable," per WSJ.
Details include:
1. The current round of efforts to reach a cease-fire has reached a "dead end," mediators said
2. Turkey and Egypt are still pushing to find a way forward and are considering new venues for the talks
3. Potential new venues for talks include Doha or Istanbul
4. Mediators are attempting to come up with "fresh proposals" to overcome the deadlock
A-10 moja ya ndege naikubali sana katika CAS(close air support), bila shaka imepigwa. Hii ni aibu, lakini tutegemee hilo, maana A-10 ilikuwa ikionekana Afghanistan Talibans wanajificha...The New York Times: another American combat aircraft of the "A-10 Warthog" (Hog) type crashed near the Strait of Hormuz.
At about the same time, an F-15E was also shot down over Iran.
Kama viongozi wa Ira wangetoka basi na wao wangekuwa wajinga, maana US kashavunja makubaliano mara nyingi kitu kilichopelekea hadi sasa Iran hawaamini tena maneno ya US.Kuna mtu insider ndani ya serikali ya Trump kasema kuwa mazungumzo ya Pakistan Marekani ilikuwa inayatumia kuwaganya maofisa waandamizi wa Iran watoke mafichoni ili iwaue.
mkuu naomba tuchambulie li A-10 lilibondwaKama viongozi wa Ira wangetoka basi na wao wangekuwa wajinga, maana US kashavunja makubaliano mara nyingi kitu kilichopelekea hadi sasa Iran hawaamini tena maneno ya US.
Nimesikia wanachi wa Iran ambao wanaweza kutoka na kupambana vita ya ardhini ni zaidi ya milioni mbili, toa jeshi la serikali na IRGC.Ground invasion itafanikiwa vipi kama tu raia wa kawaida wamejiandaa kuwakabili na wanasakanya kila mahali mlipo hapa bado sijagusia wanajeshi rasmi wenye mafunzo.
View: https://x.com/i/status/2040127680780157428Ni kipi kilicho waaminisha wa Marekani kuwa asilimia kubwa ya Wairan wapo upande wao na watawapokea kwa nderemo na vifijo ?
OHB11 hearly Khaibar baba-mwajuma ITR and 100 others
Hata mimi naikubali sana. Ni kama punda ina uvumilivu wa kiwango cha juuπA-10 moja ya ndege naikubali sana katika CAS(close air support), bila shaka imepigwa. Hii ni aibu, lakini tutegemee hilo, maana A-10 ilikuwa ikionekana Afghanistan Talibans wanajificha...
Ni million 7 Mkuu.Nimesikia wanachi wa Iran ambao wanaweza kutoka na kupambana vita ya ardhini ni zaidi ya milioni mbili, toa jeshi la serikali na IRGC.