Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kaskazini mashariki mwa Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la dezful
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la parchin
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kermanshah
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la sadat Abad
 
Umenotice hawa Al-Jazeera nao ni miyeyusho sometimes, ona utofauti wa captions.......issue ya ndege ya Marekani kudunguliwa wanasema "Iran says" ishu ya ndege ya marekani kutua salama wanasema "US search helicopter lands safely". Yani kwa kifupi wanatwambia taarifa za Iran ni "yasemekana" wakati za Marekani ni za kuthibitishwa
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kaskazini mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la district 1 Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kaskazini mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
Ni huzini siku ya leo. Uchi wa kuku uko waziπŸ˜‚

A-10, F-15, black hawk in single day?? Hii ni aibu Trump!
Hii vita wakiendelea nayo wataendelea kuaibika, na mpaka sasa Marekani yupo nafasi mbaya sana.

Kwa sasa mwenye nguvu ya karata kwenye meza ya mazungumzo ni Iran. Changamoto iliyobaki ni kwa Trump: Ni kiburi, jeuri na ni mwenye dharau. Matokeo yake kujishusha anashindwa hivyo anaamua kuwaangamiza tu wanajeshi wake. Iran imemwambia "Welcome to the graveyard of your vanity".
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la abadan
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la minu island
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la zafaraniyeh Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la tajrish square Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la julfa Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Seyed Khandan. Milipuko mikubwa sana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la majidieh Tehran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…