Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la lavizan Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la queytarieh Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kaskazini mwa jamaran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kolchehchal Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kolchehchal Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kolchehchal Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la niavaran Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
Kazi kubwa sana U.S atakutana nayo
 
Hivi huyu Marekani aliye shindwa kuwalinda washirika wake dhidi ya taifa dogo kama Iran ndo anawadanganya akina Japan,korea,Austiralia,taiwan,na uphilipino kuwa ataweza kuwalinda dhidi ya china na korea kasikazini?
 
Tumeishi kwenye uongo wa muda mrefuu kama US kawaambia Iraq na Saudia walinde balozi za US kwenye nchi zao ndiyo aweze kuwalinda washirika wake??
Nchi zenye Maslahi yake Ya mafuta na gesi kashindwa kuzilinda ndiyo aweze kuwalinda Hao washirika wengine?? Kama Israil makombora yanafika popote na Israil Ina mifumo mingi ya ulinzi wa anga je ndiyo Hao watalindwa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…