Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mwingine nani wameisha wote?hakuna wa kupokea kijiti tena Mzee
Mkakati ni kubakiza viongozi watatu tu kwa ajili ya kuwepo kwenye meza ya mazungumzo
Leo kaliwa kamanda wa jeshi la majini tena,mmoja mmoja wanaisha

Ngoja vipigo viendelee kwa miezi 2 tena mbele watu watakua washatepeta wajipeleke kibra wenyewe
 
Habari zilizosambaa mitandaoni ni kwamba wanajeshi kutoka Jimbo la Chechen Urusi wanaelekea Iran kujiandaa na vita ya ardhini endapo Marekani itaanzisha uvamizi huo.
Hao wapambane na Ukraine kwanza huku watapotea mazima 😀😀

Waache kihere here hatutaki lawamae
 
Hawa wamejipanga na wako na marale ya hali ya juu kama viongozi hawana uoga wa kifo kwa kulinda maslahi na heshima ya raia zao, nchi yao na mfumo wao wa maisha, raia kwanini waogope zaidi ya kutoa full support
Hii yote ni kwasababu Trump amekua pulled along na Netanyahu kwenye hii vita, akitegemea ushindi wa haraka na kulinda hegemony ya US ambayo iko kwenye declining mode
Trump na genge lake wamewatapeli wamerekani na sera za MAGA na kinachoendelea muda huu inaonekana ni kinyume chake na hiyo inafanya hii dunia kua katika wakati hatari sana
US basically yuko na machaguo mawili akubali kuachia kijiti cha U-super power kwa kukubaliana na hali na kendelea ku-decline au afanye kitu kuhusu hilo( Chaos na vita kujaribu kulinda hegemony yake) na hili ni more likely na possibly ndiyo sababu ya hapa tulipo na probably it will get worse.
 
September 11 was their plan bhana hao wana huo mtindo ili wapate chance ya kuvamia Taifa Fulani wana tengeneza falls flag
Upo sahihi, Mkuu. Na IITA hujuma kwa sababu aliyepanga mbinu hiyo alikuwa na malengo ya kuidhoofisha US in long ran. Kwani kuanzia hapo Hata wale ambao walikuwa hawana Nia ya kuivimbia Marekani walipata feeling ya kufanya hivyo na kuanza kuweka mikakAti ya kumkabili kwani ilionekana anaingilika.
 
Hadi raha... Mayahudi yalijiona grade one kumbe ni debe tupu tu 😁😁
 
Israel anamaliza hio kazi kidogo iliyosalia

Halitabaki jiwe juu ya jiwe
Dunia ilishtushwa na akina khamenei walichofanyiwa
Hakika Netanyau yule Mzee ni mbaya sana 😀
Kumbuka: hatima ya vita iko mikononi mwa IRGC siyo hao wavamizi wako. Israel hawezi kufanya finishing akiwa pekee yake.
Tangu mwanzo US-ISRAEL wamekuwa mabingwa wa kutunga ngonjera za taarabu, wakisema kwamba: Tumemaliza kila kitu Iran, hawana chochote cha kuendelea na vita. Nguvu zote za jeshi tume vunja vunja, viongozi wote tumewachinjia baharini.
Maswali:
  1. USA anataka negotiations na viongozi wepi ikiwa tayari amewaangamiza viongozi wote?
  2. US-ISRAEL imekuwa ikidai nguvu zote za kijeshi za Iran zimevunjwa vunjwa. Mbona US-ISRAEL wanaendelea kupokea maumivu ya mkong'oto kutoka Iran(IRGC)?
 
Wacha USA alipue miundo mbinu ya Iran kadri awezavyo, lakini Iran imeshagundua chanzo cha mapato kilichonona kupitia tozo za Straight of Hormuz anajua vilivyoharibiwa atavijenga upya fasta tu. Yaani kila meli ya mafuta inayopita hapo inatozwa dola milioni 2, Zikipita 100? kwa siku, kwa mwezi na kwa mwaka itakuwa bei gani?
 
Utamu wa hii VITA nikuona Miji ya Israel kila siku inapelekewa MOTO💥💥💥💥 kwa kweli hatuna Deni kwa Iranian dozi imewekwa tayali na kila siku inatolewa !!!

na sote tu Mashahidi kwa ili Hakuna siku imepita miji ya zayuni isipokee MOTO!!!

Kutoka siku12 mpaka sasa ni mwezi kichapo kinaendelea tu.
 

Kinachowauma kwasasa USA ni kipigo kwa Israel kinawaogopesha !!!
Vile awajui lini Iranian watasitisha MOTO kwaiyo kwao kupiga msikiti na maeneo ya Kiraia nikama kucheza Upatu.!!

Pengine maumivu yakiwadhidi Iranian itatafuta namna ya kusitisha Vita,
Lkn msingi wao kuiponya Israel kwasasa.🤠
 

Dingi akikupiga ngumi wewe mtie mwanae makonzi tu, ataacha mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…