Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Wale waajemi naona ni vichaa zaidi mkuu, akifanya hivyo wakitoa makombora yao makubwa mapya wataanza na general uchwara wetu hapo kampala.Kauli za matusi kutolewa na Rais si ishara nzuri hata kidogo.
Kuna kitu hakiko sawa, Rais hutumia lugha za kidiplomasia hii ndio kanuni, Sasa ukiona Zinaanza kutumika lugha za kihuni jua diplomasia isha fail na Trump anachoshwa na namna Iran anavyojibu Kila shambulio na jinsi anavyofanya vita kuwa ndefu na ya gharama kubwa.
Iran inatakiwa kuwa na tahadhari kubwa sana kwa sasa maana Trump anaweza kufanya mashambulizi makubwa sana ya liwalo na liwe Ili kuficha aibu.
Mkuu kitu kinachoitwa uongo kimo ndani ya DNA yenu? Wanakijiji wanaotumia magobole wanawezaje kushindana na ground forces zinazokuwa supported na fighter jets?Inasemekana lile lilikuwa sio jaribio la kumuokoa Rubani bali ni jaribio la kwanza la ground invention lililofeli na jamaa wakawakimbia wanavijiji waliokuwa wanatumia magobole.
Ndio maana made get makubwa mawili yaliyolipuliwa ni vigumu kuamini yote hayo yaende kumuokoa mtu mmoja.
Hii ndio lugha rafiki kwa watu vichwa ngumu kama iran, adui hamna haja ya kuongea nae kisababtoNimecheka balaa, hivi kweli nchi inakua na rais wa hivi daah