Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Assassination operation imefanyika katika eneo la seven pools Tehran
20260407_030912.jpg
 
💥💥💥💥💥
Leo naona Kuna assassination operation nyingi zinafanyika. Je zitakua successful au la, tusubiri taarifa zaidi kesho
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kaskazini mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
💥💥💥💥
Assassination operation imefanyika katika eneo la kaskazini mwa tabarsi mashhad
20260407_032051.jpg
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la ekhtiarieh kaskazini mwa Tehran
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya jeshi Qaleh Hassan khan Tehran
 
Back
Top Bottom