Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Eneo ni pardis phase 4. Pia Kuna assassination operation imefanyika hapa
Walikua wanakutukana bure tu bro kwa kutoleta mara kwa mara updates za Iran kupiga Israel
Kumbe hakukua na mashambulizi ya mara kwa mara kama walivyokua wanataka
Imagine kaja mtetezi wetu ndugu Intelligent na yeye anasimulia mambo ya houth kuwait iraq

Wakati sisi tunataka kusikia tel Aviv Jerusalem Haifa
 
US na Israel waliahidi leo Jumanne watafanya mashambulizi makubwa zaidi.

Wale wa vitaarifa vya vikatuni, AI na udini hebu kaeni pembeni kidogo waacheni wataalam wa updates.
 
Walikua wanakutukana bure tu bro kwa kutoleta mara kwa mara updates za Iran kupiga Israel
Kumbe hakukua na mashambulizi ya mara kwa mara kama walivyokua wanataka
Imagine kaja mtetezi wetu ndugu Intelligent na yeye anasimulia mambo ya houth kuwait iraq

Wakati sisi tunataka kusikia tel Aviv Jerusalem Haifa
Hatari kubwa.
 
Wewe kidogo kuna swali unauliza unajaribu kumuingiza jamaa kwenye mtego wako sema nadhani kakusoma,ukiwa na akili nzuri kuliko Echolima utakubali nikikwambia kwamba hao Hamas na Hiezbollah ni matokeo ya hichohicho anachokwambia jamaa ya uvamizi wa ardhi za watu.

Hamas hawakukurupuka tu walitokea baada ya Israel kuanza kupora maeneo ya Palestina na kujitanua zaidi sasa nyie wenzetu mnaona Hamas akipigania ardhi yake ni kosa mnasema gaidi ,hivi mna roho na akili gani?! The same to Hezbollah uwepo wao nao ni kwasababu ya uporaji wa kipande cha ardhi ya Lebanon na Israel..Sasa hata kama tutasema Iran anasaidia hayo makundi hivi ni vibaya kusaidia mnyonge?!usichokijua ni kwamba Hamas na Hezbollah ni vyama vya siasa vyenye military wings,Iran kusaidia hayo makundi haina tofauti na Tanzania ilivyomsaidia ANC,SWAPO au FRELIMO katika mapambano ya uhuru na haki katika nchi zao...

Sema wenzetu nyie mnaweka hisia mbele sana na sijui hiyo dini yenu mna watu wa aina gani mmejawa na chuki sana,Hao Hezbollah au Hamas hawapiganii dini wanapigania ardhi zao ndani ya hayo makundi kuna wakristo wengi sana hasa Hezbollah..
Hajui hata moja hapo. Ila anavyoshupaza shingo sasa?
 
⚡️🤡🇮🇷😒 President Trump says one of the main reasons for the war against Iran is so the United States can restore gay rights to the people of Iran.

📍He says gays are currently being thrown off buildings in Iran.

📍Trump:
"What about gays in Iran? They want us to keep bombing."

P.S. What a fucking idiot...
Na kuna watu watakwambia Trump ana utimamu wa akili.
 
Kwenye Hii vita ni Israel na Iran ndio walijiandaa kupigana.

Hizi nchi za Gulf ni wazembe sana. Saudia kubwa jinga sana.... Subiri siku Israel ikamuamulia
Saudi Arabia ana ugomvi na nani hadi ajiandae kupigana!?
Mbona point dhaifu hii haina mashiko!?
Unataka watu waingilie ugomvi wa Israel kwa upumbavu wake!?
 
Walikua wanakutukana bure tu bro kwa kutoleta mara kwa mara updates za Iran kupiga Israel
Kumbe hakukua na mashambulizi ya mara kwa mara kama walivyokua wanataka
Imagine kaja mtetezi wetu ndugu Intelligent na yeye anasimulia mambo ya houth kuwait iraq

Wakati sisi tunataka kusikia tel Aviv Jerusalem Haifa
Tel Aviv,Haifa,Kiryat Shmona,Manama hizi zipo wapi kama sio Israel? Hujaona jamaa akileta taarifa zake hapa?
 
Kama kawaida kumekucha tenaa..... wambele wainame wanyuma tupate kuona..
 
Tel Aviv,Haifa,Kiryat Shmona,Manama hizi zipo wapi kama sio Israel? Hujaona jamaa akileta taarifa zake hapa?
Tulikua tunamdai jamaa alete mashambulizi sawa sawa na mazayuni
Kumbe Iran haikua ikishambulia mara kwa mara

Nmeona mdau wetu Business Intelligent na yeye kaleta mara 2 tu siku nzima
Kwahiyo matusi alikua anaporomoshewa bure tu.
 
Issue ya rescue operation inaonekana U.S alipata hasara.
Trump kasema yoyote atakaye iongelea rescue operation in a negative way atamshtaki kwa sheria ya national security
Kwenye kambi zote zilizopigwa na balozi zao napo wamezuia upigwaji wa picha na kuripoti hali ilivyo na hii kauli Trump kuwapiga mkwala anaitamka kwa mara ya pili, hata Secretary of Defence nae alishawahi kuwapiga mkwala waandishi wa habari.
 
Nimesikiliza mwanzo mwisho hakuna sehemu kasema hivyo
Issue ya rescue operation inaonekana U.S alipata hasara.
Trump kasema yoyote atakaye iongelea rescue operation in a negative way atamshtaki kwa sheria ya national security
siku
 
Back
Top Bottom