Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Hii Ina vinasaba na USA?BREAKING: 🇮🇷🇸🇦
Iran struck Saudi petrochemical giant SABIC earlier tonight.
SABIC is the world’s fourth-largest petrochemical manufacturer.
Hii Ina vinasaba na USA?BREAKING: 🇮🇷🇸🇦
Iran struck Saudi petrochemical giant SABIC earlier tonight.
SABIC is the world’s fourth-largest petrochemical manufacturer.
USA kuweka base Saudia hili sio tishio kwa Iran. Hivyo lazima puppets wote wa USA wapewe kile wanachostahili haiwezekani umkaribishe adui yangu kwenye makazi yako ili aniumize. Alafu wewe uwe salama.Hii Ina vinasaba na USA?
Mixer kujipongeza kuwa rais wa Venezuela ila Trump.Hii dunia inaenda kasi sana kutoka kwenye kushambulia na kuangamiza makombora,drone,na kuipindua serikali mpaka kushambulia vyuo vikuu,mahospital,madaraja na reli na vituo vya umeme.
Fundissho zuri mujarabu kabisaUSA kuweka base Saudia hili sio tishio kwa Iran. Hivyo lazima puppets wote wa USA wapewe kile wanachostahili haiwezekani umkaribishe adui yangu kwenye makazi yako ili aniumize. Alafu wewe uwe salama.
Ving'ora siku hizi vimeenda likizo?🚨 Iranian strikes hit Tel Aviv
Ving'ora vimeshamaliza kazi ya kuwaelimisha zionist kuishi kwenye bunker hivyo asiyetaka na ikatokea lolote baya likimkuta kutoka Iran basi ajilaumu mwenyewe. Dah ila jameni vita ni mbaya sana.Ving'ora siku hizi vimeenda likizo?
Huo uwezo atautolea wapi ikiwa yeye mwenyewe kashindwa kulinda viongozi wake.Hizi nchi za kiarabu zikijichanganya, Iran itapindua tawala zao na kusimikwa serikali nyingine hasa Bahrain na UAE
Pia bila msaada wa USA na UK hichi kigenge cha kina Trump ni weupe Sana, halafu utaskia watu wanawasifia Mossad humu.Hii dunia inaenda kasi sana kutoka kwenye kushambulia na kuangamiza makombora,drone,na kuipindua serikali mpaka kushambulia vyuo vikuu,mahospital,madaraja na reli na vituo vya umeme.
Saudi pia, kama Yemen Saudi kuna population kubwa Sana ya Shia, na Serikali ya Saudia inawatesa Sana, moja ya sababu Houth Haparticipate kwenye hii vita kama tulivyomzoea ni hii, kukinuka Tu wanaanza na Saudia humo humo ndani kwake.Hizi nchi za kiarabu zikijichanganya, Iran itapindua tawala zao na kusimikwa serikali nyingine hasa Bahrain na UAE
Kuchange Regime unatumia watu wa ndani, Bahrain ni rahisi Sana Iran kuchukua Nchi sababu Asilimia 65-70 ya watu wa Bahrain ni Shia ambao wapo loyal na Iran.Huo uwezo atautolea wapi ikiwa yeye mwenyewe kashindwa kulimda viongozi wake.
Miaka ya 70 King Faisal alitaifisha hayo Makampuni yote yakawa 100% yanamilikiwa na Saudi, Ila sasa hivi Genious Salman anayagawa Tu, Kampuni nyingi za Saudi wamelist share zao public na BlackRock pamoja na Vanguard Wana significant shares kwenye hizo kampuni, SABIC Asilimia 70 ni Aramco na 30 ni wengine ikiwemo BlackRock.Hii Ina vinasaba na USA?
Kwani mashambulizi ya US/Myahudi yaliratibiwa na kupangwa kwenye ardhi ya nchi zipi? au unazani zile kambi zilizoweka Middle East unazani zilikuwa urembo ule? na uzuri Iran alishawambia zamani kabla ya hiyo vita au why US alitishia kumshambulia Cuba endandapo Russia angeweka silaha zake za maangamizi Cuba?Iko Saud Arabia. Je ni ya Serikal ya Saudia au US au Ni ya Israel?.
Kwanini asilipue petrochemical zilizoko Israel?.
And so far Sijaona Saudia akirusha Bom hata moja kuelekea Iran.
Pamoja na yeye kushambuliwa kwenye Miundo mbinu yake.
Uzuri wa Trump hana kabakoo 😁😁😁Na kuna watu watakwambia Trump ana utimamu wa akili.
Swali zuri,Iko Saud Arabia. Je ni ya Serikal ya Saudia au US au Ni ya Israel?.
Kwanini asilipue petrochemical zilizoko Israel?.
And so far Sijaona Saudia akirusha Bom hata moja kuelekea Iran.
Pamoja na yeye kushambuliwa kwenye Miundo mbinu yake.
Midhali vita inaendelea hilo la Mojtaba halina impact.Trump anadai Ayatollah Mojtaba Khamenei aidha amekufa au yupo mahututi (taarifa bado hazijathibitishwa).
Binafsi: Huenda kuna jambo limemkuta maana toka Mojtaba Khamanei amechaguliwa hajatokea hadharani. Kama yupo hai huenda anafichwa ili asiingie mikononi mwa Mossad. Wengine wanadai yupo Urusi kwa matibabu na usalama. Yote yanawezekana lakini muda ni majibu.