Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
Screenshot_20260407-033456_1.jpg
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la gereza dastgerd isfahan
 
💥💥💥💥
Assassination operation imefanyika katika eneo la pasdaran Tehran. Mashambulizi makubwa kwenye majengo mawili
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la sarak e hesar Tehran. Milipuko mikubwa sana. Mitetemo ya ardhi
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la pardis. Milipuko mikubwa sana. Eneo kubwa limeshambuliwa
20260407_035938.jpg
 
💥💥💥💥
Video footage: Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la pardis. Eneo Kubwa limeshambuliwa muda mchache uliopita
 

Attachments

  • 2026-04-07_04-01-32_1.mp4
    689.2 KB
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la makazi ya jeshi taj niya
 
Back
Top Bottom